Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

raya ajiangalie sana na utokaji wake langoni.. goli anakuwa analiacha sana mbali.. timu ikipoteza tu mpira bahati mbaya basi anakuwa out of position kabisa na ni rahisi kufungwa.

goli la porto na lens away.. wapinzani wakishamsoma tu.. basi atatunguliwa goli nyingi kama izo.
 
GAY GOONERS 😂😂😂

Diogo Costa aliwaonya kuwa wanajua madhaifu yenu mkatukana sana. Tena akataka muonyeshe kweli kama nyie mnaopewa nafasi ya kuwa mabingwa wa UCL uwezo mnao!!! Gay Gooners mmethibitisha hamna uwezo, kipindi kile Europa mkajinadi kuwa Sporting wakija Emirates mnamaliza kazi 😆 yasije yakajirudia tena yaleyale maana Wareno washajua pa kupiga.
 
Yamemaliza bila On target.
Screenshot_20240222_054949_Sofascore.jpg
 
Hawa huwa wanapoteza mwelekeo mwisho wa msimu, mwaka huu wameanza mapema sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji848][emoji848][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Screenshot_20240222_062123_All%20Goals.jpg
 
[emoji2788]| FC Porto goalkeeper Diogo Costa on Arsenal:

“Of course they have the weak points. I'm not going to tell what we are going to do.

“If they are the favourites (to win the Champions League) they need to show us they are one of the favourites.”

[Hayters TV]

Hii comment nitaji-tag mida ya saa 6 usiku

Umeitaq au bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom