Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal fans were tweeting "Pray for Porto" before the game[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20240222_075948.jpg
 
Arteta on the game: "Very disappointed in the way we gave the game away at the end. If you cannot win it don’t lose it. We dominated the game, but we lacked purpose to generate much more threat in their backline."

Arteta on the fouls: "That’s the context of the game. It’s something that the referee has to manage."

Arteta on if his team were naive: "It’s only the last ball. If in 94 mins they haven’t had any naivety it’s a bit cruel to judge it. But it’s true it had a big impact on the result."

Arteta on lack of attacking threat: "Credit to them. They defended well. When we got in certain areas we didn’t finish. Every time we touched somebody it seemed to be a foul. But we will learn and do better." [Kaynak]

Mikel Arteta: “It is half-time [in the tie]. If we want to be in the quarter-finals, you have to beat your opponent & this is what we have to do at the Emirates now.”

Mikel Arteta on what he told his players at full-time: “Obviously that we have to manage [the game] much better when you cannot win. The way we handled the ball on three occasions in deep areas, it’s not good enough.”

“We lacked threat, more aggression, especially when we had the ball in the final third, especially in the back as well, more purpose to hurt them. We will tweak a few things to attack better, because we can do better.” [TNT]
 
zero shot on target afu una lila lia
 
Nikikumbuka wakati pinga pinga fans niliposema Porto anaweza kutuletea matatizo wakawa wanakuja na maelezo ya mambo ya system ya uchezaji huku wanabisha kuwa timu tishio UCL ni Real Madrid and Manchester City naishia kucheka tu anyway we still have 90 minutes pale Emirates za kucheza sema Arsenal ataingia na presha ya kutaka results na Porto atakuwa anacheza counter attack sijui itakuwaje?but lazima game tuiangalie COYG!

La kuongeza ni kuwa kuna fan alisema Odegaard kwake ni bora kuliko KDB nataka kumwambia kuwa game kama hizi za Champions league (big games)ndizo zinaoneshaga who is who
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Katika mashabiki wa wachache wa Arsenal ambao wanajielewa hakika wewe computerarsenal ni miongoni mwao ingawa unapigwa vita sana humu.
Siku hizi naona umeamua kukaa pembeni ukiwatizama wenzio tu jinsi wanavyopeana false hopes za kijinga huku ukicheka kimoyomoyo.
Mechi ya Marudiano Arsenal ataingia uwanjani akiwa na presha kubwa, na mechi zote arseno anazocheza kwa presha matokeo yake hua yanajulikana[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nyie wazee wa hamsa hamsa hivi mpo serious kweli?
Yaani dakika zote 90 mlizocheza kweli mnakosa On Target hata moja kweli?
1708573571693.jpg
 
Nikikumbuka wakati pinga pinga fans niliposema Porto anaweza kutuletea matatizo wakawa wanakuja na maelezo ya mambo ya system ya uchezaji huku wanabisha kuwa timu tishio UCL ni Real Madrid and Manchester City naishia kucheka tu anyway we still have 90 minutes pale Emirates za kucheza sema Arsenal ataingia na presha ya kutaka results na Porto atakuwa anacheza counter attack sijui itakuwaje?but lazima game tuiangalie COYG!

La kuongeza ni kuwa kuna fan alisema Odegaard kwake ni bora kuliko KDB nataka kumwambia kuwa game kama hizi za Champions league (big games)ndizo zinaoneshaga who is who
Wee jamaa comments zako nyingi huwa ni baada ya timu kufungwa tu inaonekana timu inapofanya vizuri huwa unaumia
 
Vijana wangu mlioanza kushabikia arsenal miaka ya 2010s msiache kuwa mnasoma hii post. Itakuwa inawasaidia from time to time.

Aina yetu ya mpira kamwe hatuwezi kubeba makombe makubwa. Kaeni chini msikilize tunachowaambia maana tumeshabikia arsenal kwa karibu miaka 30 sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Execute nakuomba usiwe unachoka kuwafundisha ball hawa false hopes, humu vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000 vinajifanya ni vi-die fans vya Arsenal kuliko nyie mlioanza kushabikia Arsenal miaka ya 1990, havitaki kabisa kuona timu, kocha au wachezaji wanakosolewa ila mdogo mdogo vitaanza kuelewa somo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu yangu Labyrinth 84 usiwatenge sana hawa ndugu zetu, kipindi kama hiki hua wanahitaji sana kuliwazwa na kusikia maneno ya busara kutoka kwako, nakuomba uje uwafiriji ndugu zako.
1287772194.jpg
 
Sijui kama Arsenal fans mnaelewa tunachotaka muelewe! Noamba niweke msisitizo kwa mara nyingine tena.
Mechi ya jana imeisha bila Arsenal FC kupiga shuti hata moja langoni mwa FC Porto, sio madrid wala man city ni FC Porto.
Na bado nyie ni taito contendazi kama mnavyodai!
cc hamis77
 
raya ajiangalie sana na utokaji wake langoni.. goli anakuwa analiacha sana mbali.. timu ikipoteza tu mpira bahati mbaya basi anakuwa out of position kabisa na ni rahisi kufungwa.

goli la porto na lens away.. wapinzani wakishamsoma tu.. basi atatunguliwa goli nyingi kama izo.
Ndio kipenzi cha kocha hamna namna.
 
Sijui kama Arsenal fans mnaelewa tunachotaka muelewe! Noamba niweke msisitizo kwa mara nyingine tena.
Mechi ya jana imeisha bila Arsenal FC kupiga shuti hata moja langoni mwa FC Porto, sio madrid wala man city ni FC Porto.
Na bado nyie ni taito contendazi kama mnavyodai!
cc hamis77
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena mpaka hapo walipofikia wawashukuru sana Uefa management kwenye hatua ya makundi kupangiwa kwenye group la mchekea, yaani hawa nyau ndio wangepangwa kwenye lile group la kina Newcastle humu ndani sasa hivi tungekua tunaongea mengine.

Kina Masingeli nasikia wanataka kufanya maandamano ya amani kupinga namna Uefa walivyowadharau kwa kuwapanga na Fc Porto badala ya Madrid kwenye hatua ya 16 bora.

Hii sasa ndio Asenyo ninayoijua mimi wazee wa hamsa hamsa, kauli mbiu yetu sisi misukule ya Arteta ni ile ile "Kama hautaki timu yako idhalilike, basi usiingize timu uwanjani"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#Teta ball, burudani kwa wote.
#Arsenyo Ndoo
#Kai Havertz Ballon d'Or
725536770.jpg
 
Welcome back Thomas Partey

Pray for PortoView attachment 2910102
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa pray for Porto mpo?
Masingeli wewe si ndio uliowadanganya hawa misukule kua mnaenda kudominate UEFA miaka 10+ consecutively, imekuaje jana mmekosa On Target hata moja? Sasa nyie wazee wa Khamsa Khamsa hilo kono la Nyani mlilosema mnaenda kumpiga Porto nyumbani kwake mmelipigaje sasa bila ya Shots On Target hata moja ?

1839022380.jpg
 
Yuko wapi mchambuzi nguli wa ili jukwaa bwana hamis77 hebu tupe uchambuzi wa jana maana ulisema una vyeti vya CAF tuelezee ni kwanini no shot on target hata moja

hamis77 come out
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli sasa hivi anajifanya yupo busy na maandalizi ya ndoa.
Oyaaa Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi wadau wanakuhitaji huku uwachambulie mchele.

tapatalk_-1158663258_360x420.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom