Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal will win the League at Old Trafford , City kati ya tarehe 3 March Hadi 20 April atakua ameshatema Bungo tayari.View attachment 2909752
Wazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?

Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya Asenyo
1733517671.jpg
 
Wazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?

Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya AsenyoView attachment 2909999
Safari hii tunakuja kutangaza ubingwa pale OT kama tulivyofanya mwaka 2001🤠🤠....na tutatangaza kwa style yake ya kukubabueni kono la sokwe
 
Wazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?

Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya AsenyoView attachment 2909999
Tulia wewee.
 
Thomas Partey is back in full first-team training for Arsenal ahead of the Champions League clash against FC Porto tomorrow night
IMG-20240220-WA0019.jpg
 
Odegard yupo more flexible kuliko KDB.

Odegard ni mchezaji mgumu kumpress ukimlinganisha na KDB.

Odegard ana uwezo mkubwa wa kuhold mpira kuliko KDB. KDB mkija wengiwengi anatoa easy pass,.wakati odegard ana uwezo wa kucheza kwenye hilohilo kundi kubwa la wapinzani.

Odegard magoli yake mengi ni mashuti, ndo maana nasema miaka kama 4 mbele akiwa na uzoefu atampita KDB.

Jana KDB Kuna mipira alikuwa anapata anajipigia krosi tu, kwasababu hayupo flexible kama odegard, kupiga krosi ndiyo option yake pekee.

High vision kwenye kupiga pasi inaletwa na uzoefu, lakini hata hizo pasi mnazomsifia KDB mbona odegard anapigaga sana tu, Tena kuna vipasi vifupivifupi vya assist KDB apigagi tatizo wachezaji wetu hawafungi

Odegard akiendelea kucheza hivi, atakapofikisha umri wa KDB itakuwa disaster
Juzi kati hapo nilishtuka kumsikia Ambangile anasema KDB anakwenda kuwa kiungo bora wa muda wote kuwahi kucheza epl.
 
Safari hii tunakuja kutangaza ubingwa pale OT kama tulivyofanya mwaka 2001....na tutatangaza kwa style yake ya kukubabueni kono la sokwe
OT mtakuta gari tayari limeshawaka mjiandae tu kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu.
Nilichomuelewa Baba Ubaya(Ten Hag) round ya kwanza aliitumia kutengeneza formation ya timu ingawa formation yenyewe haieleweki(amefeli) huu mzunguko wa pili anachotaka kufanya ni kama kile alichofanya msimu uliopita butua butua lakini dakika 90 zikikamilika points3 ziwe mezani.

Ila tuweke utani pembeni Aseno ya msimu huu imepoa sana, ile aseno ya top on the table ilikua imechangamka hatari, ukikutana na zile Hashtag za Arsenyo ndoo Haaland kiatu jukwaa linazidi kuchangamka.
 
Huo mpira wenu wa kuotea labda mtukute tuna kikosi cha tatu....ila hawa wahuni wanaotoka majeruhi wawepo wte ukichanganya na hawa wanaotoa dozi ya khamsa...aisee nyny kushinda labda mshinde njaa..
 
Back
Top Bottom