Au sioHaka kababu katapewa Kai Havertz a.k.a miguu ya spoku za baiskeli asumbuane naye kipindi wakina Trossard wanafumua mishuti golini....wakikaa vbaya hawa 4 zitawahusu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Au sioHaka kababu katapewa Kai Havertz a.k.a miguu ya spoku za baiskeli asumbuane naye kipindi wakina Trossard wanafumua mishuti golini....wakikaa vbaya hawa 4 zitawahusu

Ila Asenyetoz , kwa kweli huwa mnanifurahisha sana ,majirani zanguHaka kababu katapewa Kai Havertz a.k.a miguu ya spoku za baiskeli asumbuane naye kipindi wakina Trossard wanafumua mishuti golini....wakikaa vbaya hawa 4 zitawahusu
Asenyetoz ni comediansWazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?
Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya AsenyoView attachment 2909999
Hawa pimbi ndio wanakwambia mlete Madrid tumchakaze tube Ndoo ya uefaWazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?
Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya AsenyoView attachment 2909999
Katengenezeni uzi wenu
Mashabiki wa asenyetoz huwa mna mkkwara utadhani mnaa kikosi cha kutisha cha magalacticos kumbe kikundi cha waigizaji wa futuhiPorto wanatupress kwa nguvu tukiwa kwetu expecting tutafanya errors.
Timu inahitajia kua composed na kuscore ili kuwafanya waache hii tabia
Hizi nyumbu na liverpunda dawa yao inachemkaTunapaswa kujitahidi kushinda mechi ijayo tumtoe Porto. Arteta aelewe kuwa huku bongo hali si shwari kwetu mashabiki tukifungwa. Nyigu kibao wanatushambulia. Bora tushinde sisi tupige domo kuliko kupigwa na kusikilizia mashambulizi ya kina Saint Anne na Flano . Zinaudhi hizi kima acha kabisa
Hatimae maneno yangu yanaanza kutimia mdogo mdogoWewe mwenyewe hayo maneno uliyoyaandika unayaamini,?
Tunabanana hapa hapa..nyambafKatengenezeni uzi wenu
Bado umelewa unamfanisha mchezaji anayeingia kikosi bora cha dunia kila mwaka na mchezaji ambaye hajawahi kufikisha assists 20 msimu mmoja😂😂😂😂😂😂 acha uleviKwani uongo?
Alafu sasa nyie mashabiki wa Arsenyeto ndio wenye domo zaidi kuliko mashabiki wote dunianiTunapaswa kujitahidi kushinda mechi ijayo tumtoe Porto. Arteta aelewe kuwa huku bongo hali si shwari kwetu mashabiki tukifungwa. Nyigu kibao wanatushambulia. Bora tushinde sisi tupige domo kuliko kupigwa na kusikilizia mashambulizi ya kina Saint Anne na Flano . Zinaudhi hizi kima acha kabisa
😀😀😀 Haujakosea mkuu. Unaona kabisa tuko katika 'kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu' mode. Miaka ya nyuma tulikuwa wanyonge sana na tuliteswa sana na maneno ya wengine. Ila sasa tumeanza kuona ka nuru kidogo, nasie tunawakera wenzetu. 😁😁Alafu sasa nyie mashabiki wa Arsenyeto ndio wenye domo zaidi kuliko mashabiki wote duniani
OLE GUNNER SOLSKJAER alipokuwa united alishika 2nd EPL na finalist kibao aliingia, tulikuwa tunashinda mpaka 9:1 EPL, 6:0 huko UEFA bado comeback za kibabe dhidi ya giants, man city, liverpool, arsenal, Chelsea wote tulikuwa tunawafunga vizuri,😀😀😀 Haujakosea mkuu. Unaona kabisa tuko katika 'kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu' mode. Miaka ya nyuma tulikuwa wanyonge sana na tuliteswa sana na maneno ya wengine. Ila sasa tumeanza kuona ka nuru kidogo, nasie tunawakera wenzetu. 😁😁
Kale kagoli kamoja kanawadanganya watu....Second leg tunawafunga kirahisi tu wale....watakuja kupaki basi na hyo dawa tunayo...sasa hv mambo ya goli la ugenini hakuna....kwahyo wasahau kututoaHakukosea
Kwan Arteta ameshiriki mara ngapi hiyo michuano ya ulaya mpaka useme ni mafuta na maji?Unataka kutuaminisha nini kaka,
Binafsi sipendi itokee ila arteta na michuano ya ulaya ni mafuta na maji....bado inamsumbua sana.
Jana kazidiwa na hizi wiki mbili kabla marudio asipo kuwa kajifunza kitu matokeo atakayopata hayatavuka hapa 1-0,1-1,2-1....
Ndio unavyojidanganya si ndio ?Kale kagoli kamoja kanawadanganya watu....Second leg tunawafunga kirahisi tu wale....watakuja kupaki basi na hyo dawa tunayo...sasa hv mambo ya goli la ugenini hakuna....kwahyo wasahau kututoa