999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 874
- 1,627
Yule dogo Cozier Dubery kapelekwa wapi siku hizi??
Saka anahitaji mapumziko ili tupate potential tuliyomzoea
Saka anahitaji mapumziko ili tupate potential tuliyomzoea
Arsenal ya hatari ni ipi hiyo?! Hata chelsea/Man U ingekua ile ya hatari ingekuwaje?Aisee kwahiyo leo unaona ile ni performance ya kuifurahia. Tumeshinda na hilo ni jambo zuri lakini bado tuko dhaifu sana kwenye kutumia nafasi.
Kama arsenal ingekuwa ile ya hatari sasa hivi tulitakiwa tuwe point 15 tukiongoza ligi. Mnafurahia mediocre team. Bado safari ni ndefu sana.
Naamini sio mashabiki, wakuwapuuza tu.Dah kaka humu wajuaji wengi sana aisee ,
Na ukiangalia wote wanao laumu Flano ka like post zao! Flano akilike post yako lazima urudie kuisoma tena na ufirie kwa kina. Mtu anamlaumu kocha wakati mpira unaendelea, tunashinda anaanza kumlaumu Partey. Inabidi ucheke.Wajuaji wengi sana ,mtu analaumu Kai ,wakati Kai Leo kawanyanyasa sana VVD NA KONATE , KONATE kala umeme Kwa sababu ya Kai ,
Kai kawin mipira mingi sana ya juu ,
Siku hizi nimepunguza kuja humu nabishana bori na kina ambangile ,
LCM mbona wapo kwa 65 M, mfano Camavinga alisajiliwa kwa 31M inakuaje sisi tunanunua garasa ambaye alikua failure Chelsea kwa 65m.Kwenye CF ana LCM?
Leta kadi, tule ubweche.Nipo ndugu yangu japo nilikuwa bize nataka kuoa
Pale Old Trafford wewe ukiona unahitaji points 3, nenda tu pale ukajichukulie. Wanazigawa pale kama biskuti za mabasi ya kaskazini.In my side naona draw vs City Etihad kwetu ni ushindi sababu bado magiant hawajakutana for example Manchester City anaenda Anfield,Liverpool anaenda Old Trafford so anything can happen
Vijana wako vizuri,kikosi cha Arsenal sasa hivi kinatisha,ila yale masihara yao ya kucheza pasi golini kwao huwa siyapendi sana...Jurgen Klopp kakubali walizidiwa
: “Arsenal deserve the three points, there is no doubt about that. They scored three and we had one shot on target, so that's obviously the one stat that shows the most.View attachment 2894695

Takehiro Tomiyasu has now agreed to sign a new contract at the Emirates Stadium. The agreement is now in place, everything is ready, and an announcement is imminent.
It’s just time to complete the paperwork, but Tomiyasu is going to be the next important player to sign a new deal at Arsenal, following on from others like Martin Odegaard, Bukayo Saka and William Saliba in recent months.
(@FabrizioRomano )
kumbe upoHiki kikombe ilikua ngumu liverpunda kukiepukaLiverpunda hiki kikombe lazima akinyweView attachment 2894233
Na hii ina expose weakness ya Arteta, kwahiyo 65M kwa ajili ya kushinda mipira ya hewani tu?Kukosekana kwa jesus arteta amekuwa sahihi kumpanga Kai . Kwa sababu hakuna mchezaji mwingine yoyote angeeeza ku battle na kina Van .. kwenye mipira yote ya juu
Huu ndio ulikua ushauri wangu kwa shangazi wa jf, naona Hadi Sasa hivi anaihudumia ndoa Sasa vizuriUkae kwa kutulia Bibi, leo Mtakufa 2 tu

Hapa nilitoa tahadhari, laiti wangejifanya wanajua press au kutaka kupishana Basi wangepigwa mkonoAta huko kututangulia sidhani, sioni wakicheza mpira wowote leo
Wawe na adabu tu, tutafanya vile itakavyo tupendeza
Mbili kavuLiverpunda anakufa 2 kavu
Akija vibaya au akijaribu kupishana, fedheha itamkuta
Liverpunda walipata shot 1 tu on targetIt will be difficult for liverpundaView attachment 2894092
The whole world was happy, na hajatoka punda yeyote yuleHatoki mtu leo Emirates
Arsenal play today and the whole world is happy
Liverpool
19:30
Premier League
Emirates Stadium
Ready for a massive gameView attachment 2894090
Artetaliban ball




Domination of midfielders,Joginho ni holding mzuri Sana
Rice na joginho wapo dimba la chini. Hapo kiungo kinakua solid sana
Dimba la juu yupo odegard

