Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,089
- 16,086
Kuna na hawa wengine 👇Nyie jamaa mpewe timu mfundishe
Jorginho huwa anastuck sasa kwa kasi ya liverpool lazima tulie. Huyo Odegaard umewahi kumuona lini akifanya cha maana kwenye mechi kubwa?
Mnasahau Arteta ndio anakaa nao, anakaa mpaka na familia zao. Tupunguze ujuaji Arsenal fans!Sijajua kocha ana mpango gani, ila confidence yangu ya game imepungua baada ya kuiona hii starting lineup. Wacha niangalie match, huenda kocha ataniprove wrong kwenye kile nnahisi kinaweza kutupata.

