Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,566
Ukisoma wanachoandika mashabiki wa Arsenal unabaki unacheka tu. Sina uhakika kama ni mashaniki kweli au mamluki tu wanajidai mashabiki?! Tukishinda kimya hata kufurahi wanashindwa! Mashabiki viazi.