Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,070
- 8,761
Aibu yako mwenyeweArteta akili kisoda, Zinchenko na Jorginho unawaweka mbele ya liverpool? Leo tunaenda kuaibika vibaya sana.
Aibu yako mwenyeweArteta akili kisoda, Zinchenko na Jorginho unawaweka mbele ya liverpool? Leo tunaenda kuaibika vibaya sana.
Kuna watu wanajifanya kuujua mpira humu.Aibu yako mwenyewe
Hiki tunachokipigia kelele kila siku kua Zinny acheze LCM na Arteta hana hata wazo hilo ndo hiki hiki mashabiki wengi wa Liverpool wanatamani klopp amuweke TAA kwenye kiungo na klopp hana hata muda huo ni kwanza sisi tunawaza zaid kuliko wao au ni kua impact kwenye nafasi zao wanazocheza ni kubwa kuliko ambapo tunapowafililia sisi kwenye nafasi za kiungo?Na hii ina expose weakness ya Arteta, kwahiyo 65M kwa ajili ya kushinda mipira ya hewani tu?
Trossard kaingia na instant impact, ni mara Mia LCM achieve Zinchenko huko LB achieve Kiwior. Huyu Havertz is bullshit.
[emoji2][emoji2] daah mkoreaDomination of midfielders, [emoji736]
lazima uwaweke joginho na Rice
Accelerated wings[emoji736]
Saka na martinel, hakuna timu inapenda iwakute wapo form
Sasa hivi Nina kazi ya kushabikia na kazi ya kufundisha soka
Sasa ukute mashabiki MAANDAZI wa JF wanavyomtukana Arteta! Utasema ni makocha nguli hapa duniani. Pumbafu kabisa.Unataka kujua kwanini Jana Zinchenko hakuwa anaingia ndani kama ilivyozoeleka kwa Arsenal ( Inverted FB ) kuwa karibu na kiungo wa ulinzi Declan Rice ?
[emoji1593]Well, sababu sio Jorginho , kwamba uwepo wa namba 6 wawili Jorginho na Rice ndio ulifanya Zinny asiwe na sababu yoyote ya kuingia ndani kuwa kama kiungo ... la hasha , bali sababu ilikuwa :- MUUNDO WA PRESSING WA LIVERPOOL ( 4-1-4-1 ) . Kivipi ?
[emoji1593]Hapo maana yake Liverpool watakuwa wanakabia juu kwa kutumia wachezaji watano ( Straika na viungo washambuliaji wanne nyuma yake ) : sasa kwanini huu muundo ufanye Arteta abadilishe build up structure yake ?
[emoji1593]Muundo wao Arsenal mara nyingi ni 3-2 ( mabeki watatu wa nyuma White Saliba na Gabriel ) huku mbele yao ni Rice na Zinny ) kama wangefanya hivi maana yake ingekuwa 5v5 kwasababu Arsenal nyuma wangekuwa watano kitu ambacho ni risk .
[emoji1593]KWAHIYO : Arteta akaamua kubadilisha build up structure yake kutoka 3-2 kuwa 4-2 ( White Saliba Gabriel na Zinny ) huku mbele yao ni Rice na Jorginho kwahiyo hapo inakuwa 6v5 , faida ya mchezaji mmoja ( hapo wanakuwa wametengeneza overload ) . Angalia goli la kwanza la Arsenal .
NOTE
Kwenye huo muundo juu walikuwa na namba 10 wawili Kai na Odegaard lakini sio mstari mmoja bali Kai alikuwa pembeni juu kidogo ya Odegaard ... kwanini ? Ili kushambulia space baina ya TAA na Konate .!
AMBANGILE View attachment 2895102
Ndio hivyo mkuu[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2] daah mkorea
Sasa hivi wapo kimya kama vile hakuna kilichotokea subiri tufingwe sasaSasa ukute mashabiki MAANDAZI wa JF wanavyomtukana Arteta! Utasema ni makocha nguli hapa duniani. Pumbafu kabisa.
Aisee ninyi Kenge washika manati wa London jana mmemtoboa kuku kishingo mpaka raha , mmetulipizia kisasiMashabiki wa nyukesto wamehama kabisa
False hopers ninyi mmembutua livakuku Ila haiwafanyi ninyi kutokuwa False hopersSasa hivi wapo kimya kama vile hakuna kilichotokea subiri tufingwe sasa
Na hata Goli la kwanza lilipatikana Kwa sababu hiyo, kaangalie ile buildup ,Unataka kujua kwanini Jana Zinchenko hakuwa anaingia ndani kama ilivyozoeleka kwa Arsenal ( Inverted FB ) kuwa karibu na kiungo wa ulinzi Declan Rice ?
[emoji1593]Well, sababu sio Jorginho , kwamba uwepo wa namba 6 wawili Jorginho na Rice ndio ulifanya Zinny asiwe na sababu yoyote ya kuingia ndani kuwa kama kiungo ... la hasha , bali sababu ilikuwa :- MUUNDO WA PRESSING WA LIVERPOOL ( 4-1-4-1 ) . Kivipi ?
[emoji1593]Hapo maana yake Liverpool watakuwa wanakabia juu kwa kutumia wachezaji watano ( Straika na viungo washambuliaji wanne nyuma yake ) : sasa kwanini huu muundo ufanye Arteta abadilishe build up structure yake ?
[emoji1593]Muundo wao Arsenal mara nyingi ni 3-2 ( mabeki watatu wa nyuma White Saliba na Gabriel ) huku mbele yao ni Rice na Zinny ) kama wangefanya hivi maana yake ingekuwa 5v5 kwasababu Arsenal nyuma wangekuwa watano kitu ambacho ni risk .
[emoji1593]KWAHIYO : Arteta akaamua kubadilisha build up structure yake kutoka 3-2 kuwa 4-2 ( White Saliba Gabriel na Zinny ) huku mbele yao ni Rice na Jorginho kwahiyo hapo inakuwa 6v5 , faida ya mchezaji mmoja ( hapo wanakuwa wametengeneza overload ) . Angalia goli la kwanza la Arsenal .
NOTE
Kwenye huo muundo juu walikuwa na namba 10 wawili Kai na Odegaard lakini sio mstari mmoja bali Kai alikuwa pembeni juu kidogo ya Odegaard ... kwanini ? Ili kushambulia space baina ya TAA na Konate .!
AMBANGILE View attachment 2895102
Mnanishangaza sana mnaosema Kai ana physiqueKai aliimaliza game kwa kusababisha wawe pungufu [emoji120]
Sub niliyopendekeza imelipa, Trossad [emoji736]
Arteta ni technician mzuri Sana, ndio maana pep alimvuta afanye nae kazi, Respect that
Kai vs Trossard, Neli vs Trossard.
Unacheza na liverpoll beki Konate na VVD wote futi sita zaidi, option ya Trossard inafeli mara moja kuanza. Utahitaji mtu atakaehold mipira mirefu na kushindana nao physique, Kai ametick.
Nelli vs Trossard. Liverpool wana Trent na mbele yake ni Nunez/Jota, utahitaji mtu atakaewapunguza kwenda mbele kwa speed yake pia awe anakaba, Martinelli anawin mbele ya Trossard.
Unaongoza mbili utahitaji mtu anaehold mipira na accuracy ya goli ni Trossard supersub.
Unategemea Liverpool kipindi cha pili watarudi na moto kama kawaida yao, toa Zinny weka beki halisi Kiwior.
Jana Arteta tactical alimzidi Klop [emoji1547][emoji1547]
Na isingekuwa zile 8 walizompiga kibonde mmoja, wangekuwa na GD kama ya ManyumbuMashabiki wa nyukesto wamehama kabisa
Bdo nyny....TAfuteni kocha wa kueleweka....mkija na hyu mbabaishaji wenu kono la nyani litawahusuFalse hopers ninyi mmembutua livakuku Ila haiwafanyi ninyi kutokuwa False hopers
Aka FP