Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwahiyo kwa hii misimu miwili kila Liver akikutana na Arsenal ndo anakuwa na siku mbaya? Huu ni msimu wa pili Liverpool hajapata matokeo ya ushindi dhidi ya Arsenal. Je tuendelee kuamini maneno yako kwamba liver alikuwa na siku mbaya????
Wamekalili maisha hao
 
Aisee kwahiyo leo unaona ile ni performance ya kuifurahia. Tumeshinda na hilo ni jambo zuri lakini bado tuko dhaifu sana kwenye kutumia nafasi.

Kama arsenal ingekuwa ile ya hatari sasa hivi tulitakiwa tuwe point 15 tukiongoza ligi. Mnafurahia mediocre team. Bado safari ni ndefu sana.
Hama Timu
 
Xgoal iyo kwa liver haijawahi kutokea kabisa
20240205_002150.jpg
 
Kwahiyo kwa hii misimu miwili kila Liver akikutana na Arsenal ndo anakuwa na siku mbaya? Huu ni msimu wa pili Liverpool hajapata matokeo ya ushindi dhidi ya Arsenal. Je tuendelee kuamini maneno yako kwamba liver alikuwa na siku mbaya????
Sasa kwenye hii misimu miwili uliziangalia mechi zote nne? Ile tulishinda 3-2 uliona ilivyokuwa? Haya hizo mbili za sare uliona? Kama tungekuwa serious ile tuliongoza 2 bila na wakaja kusawazisha unaikumbuka? Sasa liverpool ile ndio ufananishe na ya jana?
 
Masingeli usilitelekeze sana hili jukwaa, bila uwepo wako aiseee humu ndani kunakosa hata mvuto kwa kweli, ingawa hua tunakupondea ile kiushabiki lakini unamchango mkubwa sana katika kuleta uhai kwenye majukwaa yote ya sports humu JF.
Usione tabu kuja na kule kwetu unyumbuni ukawapopoe kina 7eggs na Masebene wake.
Naona ndugu yako Sancho anaubonda kwelikweli huko ujerumani.
Nipo ndugu yangu japo nilikuwa bize nataka kuoa
 
Jurgen Klopp kakubali walizidiwa

: “Arsenal deserve the three points, there is no doubt about that. They scored three and we had one shot on target, so that's obviously the one stat that shows the most.
20240204_234357.jpg
 
Sasa kwenye hii misimu miwili uliziangalia mechi zote nne? Ile tulishinda 3-2 uliona ilivyokuwa? Haya hizo mbili za sare uliona? Kama tungekuwa serious ile tuliongoza 2 bila na wakaja kusawazisha unaikumbuka? Sasa liverpool ile ndio ufananishe na ya jana?
Kwahiyo hizo zote alikuwa na siku nzuri isipokuwa jana tu? Hapo ndo tukianza kusema ni mamluki ila mnajificha kwa kusema ni Arsenal mnakuwa wakali ila ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kuwa mnazuga
 
Mtusamehe majurani...hatujakulipizieni zile goli 4 wakuu....kwa minafasi tulokosa walikuwa wanakula kono la nyani Hawa walevi wa Anfield🤠🤠
Eti na wao kwa akili zao walidhani wanaweza kupishana na sisi. Wenzao wanapaki basi wanabahatisha ushindi, wao eti wanajiona miamba wanatufuata kwetu. Tukawabana kila sekta ila tukazingua umaliziaji.
 
Vijana hamjawahi kuziona glorious days za arsenal ndio maana mnafurahia mediocrity. Leo tumeshinda kwasababu liverpool wamekuwa na siku mbaya.

Kama arsenal yetu ile iliyokuwa lethal leo mpaka half time tulipaswa kuwa na goli nne. Liverpool wangekuwa kwenye fomu tungeumizwa leo.
kwahiyo ulitaka tusishinde au? Arsenal ilipofungwa aikuwa na siku mbaya?!
 
Back
Top Bottom