Hesabu goli 5 kuendeleaUkae kwa kutulia Bibi, leo Mtakufa 2 tu
Arteta akili kisoda, Zinchenko na Jorginho unawaweka mbele ya liverpool? Leo tunaenda kuaibika vibaya sana.
Is jesus injured or he misbehaved in training? A big miss
Sijajua kocha ana mpango gani, ila confidence yangu ya game imepungua baada ya kuiona hii starting lineup. Wacha niangalie match, huenda kocha ataniprove wrong kwenye kile nnahisi kinaweza kutupata.Liverpunda hiki kikombe lazima akinyweView attachment 2894233
Joginho ni holding mzuri SanaArteta akili kisoda, Zinchenko na Jorginho unawaweka mbele ya liverpool? Leo tunaenda kuaibika vibaya sana.
Gabriel Jesus yeye ni trip shamba trip garage, kashaumia.Is jesus injured or he misbehaved in training? A big miss
Ulitaka kuwe na marekebisho gani mkuu?Sijajua kocha ana mpango gani, ila confidence yangu ya game imepungua baada ya kuiona hii starting lineup. Wacha niangalie match, huenda kocha ataniprove wrong kwenye kile nnahisi kinaweza kutupata.
Jorginho huwa anastuck sasa kwa kasi ya liverpool lazima tulie. Huyo Odegaard umewahi kumuona lini akifanya cha maana kwenye mechi kubwa?Joginho ni holding mzuri Sana
Rice na joginho wapo dimba la chini. Hapo kiungo kinakua solid sana
Dimba la juu yupo odegard
Odegard na joginho tuwatoeJorginho huwa anastuck sasa kwa kasi ya liverpool lazima tulie. Huyo Odegaard umewahi kumuona lini akifanya cha maana kwenye mechi kubwa?
Acha tu,, ana homa za miguu yul mtoto.. ila akiotea anafanya kweli,![]()
