Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,178
Tukijitahidi sare hatuna mentality ya kupambana kushinda mechi hizi muhimu kaka hata baada ya kupata goli tazam wachezaji wamesharidhika
Nafasi kibao tunapoteza, hii timu bana kuna mechi unaona ile spirit ya upambanaji. Nyingine unaona mipango tu bila nguvu.