Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pamoja na kwamba Rice anatimiza majukumu yake kwa kiasi defensively, ila bado tunamiss zile risk and aggressive/line breaking passes za Octopus Thomas Partey

Kuna waliokua wakisema Partey yuko aggressive sana hana utulivu kwenye kuchagua pasi zake, ila ukweli ni kwamba ile aggressiveness yake ndo ilikua inafanya forward line yetu iwe bora kwenye kuvunja mistari ya ulinzi ya timu pinzani
20230416_114852.jpg
 
Akiyanani
Fungu la kukosa

Mwaka jana tukawaacha angalau msafishe nyota
Ila mlivyo vilaza mkashindwa


Hakuna kikombe mtapata.
Kikombe wanachoweza kupata hawa Kima labda ni kikombe cha mauti tu.
Mashabiki wa hii timu ukiwaambia ukweli wanakuchukia, washamezeshwa false hopes na kina Masingeli kua wao wapo level moja na kina Madrid na Bayern Munich.
Masingeli alishawaahidi watu humu kua msimu huu lazima watachukua Uefa na Epl kwa kua hayo ndio makombe mepesi zaidi kubeba.
 
Imagine unaongoza ligi Christmas halafu kabla ya mwaka mpya unakuwa nafasi ya 4 😂😂
Haka ka timu kana vituko sana mara kaongoze ligi had mwez wa nne kanakuja kutema bungo

Kocha wa kawaida sna msimu mmoja wachezaj walijitoa kwa sasa wamechoka wamerudi kwenye level yao sasa

Wazee wa 8 8 nafasi ya 8 goli 8
 
Kuna mdau humu alituambia Real Madrid and Manchester City pekee ndio washindani wa Arsenal kwenye Champions league au alikuwa anatania ?
Aaah hamis77 bwana hafu yeye kakimbia kitambo kawaachia msala hapa

na jamaa ni kiboko kama uwaga anajua matokeo ukiona tu siku achangii changii hapa ujue mnaoshwa tu.
 
Smallest team in London
Halafu hii ilikuwa London derby ,Arsekenge mkabondwa tena
Yaani Assenyetoz ni kibonde london ,Westham wanabonda , Fulham wanabonda ,sisi mlinusurika chupuchupu
Kweli asenyetoz ni papatu papatu
Wazee wa mikimbio ,kuovalodi na aerio dueli
 
Ukimsikiliza Hamisi anavyo waongopea vijana wa humu unabaki mdomo wazi.
Hamisi anaidanganya misukule ya humu kua kwa sasa hakuna RW bora duniani wa kumzidi Sakatonge.
Cha-mbuzi timu ikifungwa linakula kona, hamtaliona tena humu mpaka mwakani.
dah!
 
Eti unataka ubingwa kiungo Odegaard hivi nyie mna vichaa
Ila Odegaard sijui nini gani limemkumba ,huyu jamaa alikuwa wa moto sana siku za nyuma ,ila alipopata majeruhi ndio kashuka kiwango kabisa ,hajawa kwenye form yake ile kabla ya injury .
Odegaard ni mchezaji mzuri ,hata mimi pale Asenyetoz ni moja kati wa wachezaji ninaowapenda sana ,anapitia changamoto ya kushuka kiwango
 
Ninawasiwasi Hamis77 ni mvuta Goso (sigira za magazeti) na mla ugoro.
Hii Arsenal yenye Beki Gabriel kichwa cha bata ichukue EPL?

RICE hana tofaundi na JORDAN HENDERSON .

Martinelli hana tofauti na IWOBI.

Ordegard hata 1/3 (theluthi ) ya ozil hajaifkia.

Nketiah hana tofauti na SAPONG.

KAI hata benchi hakai kwa kocha mwenys Akili.

Inshort Arsenal mchezaji ni SALIBA tu the rest ni shit na trash tu.
 
Ukimsikiliza Hamisi anavyo waongopea vijana wa humu unabaki mdomo wazi.
Hamisi anaidanganya misukule ya humu kua kwa sasa hakuna RW bora duniani wa kumzidi Sakatonge.
Cha-mbuzi timu ikifungwa linakula kona, hamtaliona tena humu mpaka mwakani.
Saka tangu aboreshewe maslahi kibunda kimempa wazimu
 
Back
Top Bottom