Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi ni Gunners mpaka Card ya Uanachama nilinunuaga wakati nasoma PhD UK,lakini kila siku huwa nampinga huyu mpuuzi HAMIS na uongo wake humu,hata leo alipoandika humu kwamba tunashinda nilimwambia aache uhuni wake tuna Timu mbovu tena ya KICHOKO,na ndicho kilichotokea,hii ni Timu lainilaini,nina wasiwasi hawa wachezaji watakuwa wanafirana sio bure
Sasa wewe ukiwa mshabiki wa nyumbu au sisi chelkenge si ndio utajinyonga kabisa ? Maana hizi timu zinachofanya uwanjani ni zaidi ya comedy
Ligi ngumu mkuu pia ,ushindani umeongozeka sana msimu huu , nani alitarajia kuona timu kama Luton ikigawa dozi kwa timu kubwa na kuzivuruga ? ,Kiufupi hizi midteams sio za kuziletea masikhara kabisa unavyocheza nazo msimu huu ,tofauti na misimu ya nyuma huko
Leo hii kwenye hii epl hata mburuza mkia anauwezo wa kuwabonda na kuwadhalilisha wanaoongoza ligi
 
Kama unauza Partey January, hakikisha umemleta Zubimendi kwanza
20231231_222153.jpg
 
Wenyewe wanakwambia ligi wataanza January hapo walikuwa wanafanya warm up ya kikosi na kutafuta combination ya wachezaji.
Wanadai man utd kila mechi kwao ni big match ila wao Villa,Newcastle,luton, Westham na Fulham ni timu kubwa ndio maana wana haki ya kupoteza mchezo kirahisi.
 
Huyu Arteta anachomzidi 10Hag labda nywele tu.
Mpira ni pesa, hata Pep Kipara akija Arsenal FC hatafanya lolote ikiwa mtakuwa mnampatia pesa za kuunga unga kiusajili wa Wachezaji, ndiyomaana Jurgen Klopp atabakia kuwa Kocha bora kwangu wa karne maana ana Wachezaji wa kawaida ila anatembea nao vizuri tu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe ukiwa mshabiki wa nyumbu au sisi chelkenge si ndio utajinyonga kabisa ? Maana hizi timu zinachofanya uwanjani ni zaidi ya comedy
Ligi ngumu mkuu pia ,ushindani umeongozeka sana msimu huu , nani alitarajia kuona timu kama Luton ikigawa dozi kwa timu kubwa na kuzivuruga ? ,Kiufupi hizi midteams sio za kuziletea masikhara kabisa unavyocheza nazo msimu huu ,tofauti na misimu ya nyuma huko
Leo hii kwenye hii epl hata mburuza mkia anauwezo wa kuwabonda na kuwadhalilisha wanaoongoza ligi

Hakuna excuse, quality huamua matokeo. Sema wanachukulia poa sana kucheza na hizi timu. Hawa underdogs wao wanakuja kwa kujitoa mwanzo mwisho, mkileta ubishoo inakula kwenu. Ndicho kinamkuta Arsenal, intensity ya game hakuna kabisa.

Pumbafu sana hawa jamaa, haya ma mpira bora kuachana nayo tu. Tubakie kwenye uzi pendwa
 
Daaaah!!! Nimeikumbuka ile pasi ndefu kutoka kwa Partey kwenda kwa Tomiyasu.Tommy anaipiga kichwa inamkuta Kai. Kai anaisogeza kidogo kwa Martinelli, mara ubao ukasoma moja bila dhidi ya Man City.
 
Daaah, tulishapata CHEAT CODE huu msimu, kumpiga City Emirates, na draw anfiled, then ndo yametukuta haya maovyo ovyo
 
Back
Top Bottom