Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliandika hapa watu wakatukana. Tumeishia kupata point 4 mwezi december baada ya michezo mitano.

Kuanzia kwa Arteta mpaka timu yenyewe hakuna quality na spirit ya kuweza kubeba kombe kubwa.

Apatikane kocha ambaye ni tactical na sio huyu anapiga pasi zisizokuwa na umuhimu na mpira wake predictable.

Sure, tunacheza mpira wa taratibu no quick passing of the ball. Tunahitaji mabadiliko
 
N
Kuna mdau humu alituambia Real Madrid and Manchester City pekee ndio washindani wa Arsenal kwenye Champions league au alikuwa anatania ?
Nafikiri yalikuwa maoni yake binafsi kulingana anavyoilewa asenali,ila binafsi asenali sijawahi kumtarajia awe bora sana kama wanavyoiona baadhi ya mashabiki.

Mfano kuna wengine walifurahia kuona Christmas asenali yupo juu wakajua ndio itadumu😂,asenali ni mtego 😂😂😂
 
1698828249198.jpg
 
Maoni yangu ni haya na hayatendelea kubadilika kama die hard fans mnaamini Arsenal atabeba EPL or champions league trophy [emoji471] under Arteta na kina Saka basi kutakuwa na tatizo la akili somewhere HAPPY NEW YEAR GUYS!
Sasa ni wakati rasmi muanze mbio za kuiskaka top four. Habari za ubingwa waachieni wenye pumzi zao za kufukuzia ubingwa.
 
Niliandika hapa watu wakatukana. Tumeishia kupata point 4 mwezi december baada ya michezo mitano.

Kuanzia kwa Arteta mpaka timu yenyewe hakuna quality na spirit ya kuweza kubeba kombe kubwa.

Apatikane kocha ambaye ni tactical na sio huyu anapiga pasi zisizokuwa na umuhimu na mpira wake predictable.
Kocha mbwa kabisa umbwa mkubwa.
 
Mimi ni Gunners mpaka Card ya Uanachama nilinunuaga wakati nasoma PhD UK,lakini kila siku huwa nampinga huyu mpuuzi HAMIS na uongo wake humu,hata leo alipoandika humu kwamba tunashinda nilimwambia aache uhuni wake tuna Timu mbovu tena ya KICHOKO,na ndicho kilichotokea,hii ni Timu lainilaini,nina wasiwasi hawa wachezaji watakuwa wanafirana sio bure
Well said.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom