Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Je wajua arsenal AKA Wenger orphans wanatimiza miaka 20 bila kombe la EPL
1692194363957.jpg
 
Yani Arsenyani kwa hatua tu mliyofikia shukuruni. Wenzenu United na Chelsea kila wiki ni vipigo au ushindi wa kutafuta kwa mbinde sana. Nyie angalau kuna mechi timu inacheza mna-enjoy wenzenu ni mwendo wa haram football tu.

Ila ni lazima mkubali Arteta ni muhuni tu na niliwahi kusema Arsenyani ukitoa Saka, Rice, Timber & Odegaard wengine wote ni takataka tu hakuna kombe lolote la maana watawapa.
 
Kuna huyu kijana anayejiita hamis77 ukimuona anavyowadanganya wenzake utaishia kucheka tu.
Hamis77 ni nyumbu piwa huoni huwa hakauki kwenye uzi wa Manchester United? huwa anawazuga tu Arsenal FC fans na kiingereza cha Rasi Simba "Overload, Set pieces, dribbling"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Arsenal Fanboys wanaposema wao wana Timu bora pale EPL Timu yoyote huwa wanatania au wapo serious?

Orodha ya Timu zitakazokuja kumfunga Arsenal kwenye hii 2nd round:-

1) Spurs
2) Manure
3) Man City
4) Brighton
5) Newcastle
6) Aston Villa
7) West Ham

Orodha ya Timu zitakazotoa Sare na Arsenal:
1) LiverpoolFC
2) Chelsea
 
Hakuna excuse, quality huamua matokeo. Sema wanachukulia poa sana kucheza na hizi timu. Hawa underdogs wao wanakuja kwa kujitoa mwanzo mwisho, mkileta ubishoo inakula kwenu. Ndicho kinamkuta Arsenal, intensity ya game hakuna kabisa.

Pumbafu sana hawa jamaa, haya ma mpira bora kuachana nayo tu. Tubakie kwenye uzi pendwa
Upi
 
Back
Top Bottom