Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,811
- 13,764
Nilisema hii timu ina mabwabwa wengi kocha among them. Hachukui hatua.Timu hii, itatutoa roho.. 😂
Nimetizama kipindi kimoja tu nikapata mashaka kama tunaweza ambulia pointi..
Martinelli, saka.. Ni wakati wa kuletewa changamoto zaidi.