zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,258
Asenali ukiwaambia ukweli wanachukia ila kiukweli haka katimu bado sana kwenye masuala ya kushinda ubingwa hasa huu wa ligikuu.Mourinho was RIGHT [emoji736]️akaonekana HATER!
Humu tunaongopeana sana 😂😂😂...
Narudia tena kama kuna shabiki anatarajia kombe lolote kutoka asenali anajitengenezea mazingira ya kunywa sumu kwa hiari😂😂😂..
Hii ni timu kwa ajili ya kufurahia vitukio au mchezaji kwa dk kadhaa na kwa habari ya makombe ni ziada😂😂😂