IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,811
- 7,277
Eti unataka ubingwa mchezo tegemezi saka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ashindwe RVP aje aweze saka manywele
[emoji23][emoji23][emoji1430]Marehemu bado anajamba ngoja tumpigie la mwisho kichwani afe vzr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marehemu bado anaonesha dalili za uhai sio jambo zuriii...Marehemu bado anajamba ngoja tumpigie la mwisho kichwani afe vzr
Tukiwaambia hapa team ya ubingwa hamna.. Mnadhan tunawatania.. Hata dunia iende irud Arsenal hawez beba ligi nyakat izi team za maana zipo.. Villa ana nafas kubwa ya kufny surprise ya ubingwa kuliko Arsenal.Leo nabidi nikae kimya tu
Msichukulie serious maneno ya walevi ,wao wakilewa wanaweza kukuuzia hata mlima Kilimanjaro.Kuna mdau humu alituambia Real Madrid and Manchester City pekee ndio washindani wa Arsenal kwenye Champions league au alikuwa anatania ?
yani ukianza kuona hamis77 kaponguza kuja jukwaani ujue ameanza kunusa dalili mbaya jamaa ni muoga sana aise.View attachment 2858676
Mkuu achana na walevi wa mnanas.Kuna mdau humu alituambia Real Madrid and Manchester City pekee ndio washindani wa Arsenal kwenye Champions league au alikuwa anatania ?
😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mimi ni Gunners mpaka Card ya Uanachama nilinunuaga wakati nasoma PhD UK,lakini kila siku huwa nampinga huyu mpuuzi HAMIS na uongo wake humu,hata leo alipoandika humu kwamba tunashinda nilimwambia aache uhuni wake tuna Timu mbovu tena ya KICHOKO,na ndicho kilichotokea,hii ni Timu lainilaini,nina wasiwasi hawa wachezaji watakuwa wanafirana sio bure