Ww si ndio uliokuwa unatangazia wenzio game ya leo nyepesi now umekuwa kinyonga
Shida yenu kondoo mpira wenu upo mdomoni kuliko uhalisia wenyewe sasa ile rangi yenu halisi mtaipata










Na kiongozi wa kudanganya watu humu ni yule Mhuni HAMIS,na kuna mambumbumbu huwa yanamuamini kama Mungu kumbe ni kahuni tu,timu ya KICHOKO hii lainilaini!!!



















Nimeamini Arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto rasmi nimeamka kutoka ndotoniYani unataka ubingwa na wachezaji kama Nketiah kweli
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
nakaataa NAKATAAA NAKATAA atacheza sext football
️ but kupata final results kama Guardiola hawezi yupo msimu wa 4 au 5 in a row but Arsenal ni ile ile refer alikaa 284 days number 1 na akashindwa beba EPL trophy 
Pumbavu sana wewe na mwenzio Hamis. Mmefahamu mpira kombe la dunia la 2018 na sasa mnajifanya wachambuzi.Kuna mawili...hujui Bolu au ww ni mamluki🤠🤠...ukitaka mfano WA squad player nenda kaangalie vikosi vya kwanza vya Manunu na Chelkenge tena wale wengi wao walitakiwa wawe waokota mipira....na wasiwasi ww ni Manunu au Chelkenge unayejaribu kudandia treni la Ashbaton Grove
Msiba upo.Kwn kuna nn hapa?
Je tusogee karibu? Mgonjwa hali yake ikoje nipeni taarifa.

Sahihi Mkuu, possession Football imebaki kwa Pep tu ndio inayomlipa kwa Makocha wengine ni Kujidanganya tu.Arteta abadani can never ever atabeba EPL and Champions leaguenakaataa NAKATAAA NAKATAA atacheza sext football
️ but kupata final results kama Guardiola hawezi yupo msimu wa 4 au 5 in a row but Arsenal ni ile ile refer alikaa 284 days number 1 na akashindwa beba EPL trophy
![]()
Pumbavu sana wewe na mwenzio Hamis. Mmefahamu mpira kombe la dunia la 2018 na sasa mnajifanya wachambuzi.
Kaeni kimya msijaze ujinga kwenye hili jukwaa. Anzeni kusikiliza kaka zenu tunapoandika.
Nimeshabikia Arsenal tangu 1995 na mpira naujua. Hakuna timu ya kubeba hata karabao hapa.







Kaeni kimya watoto mkiona kaka zenu tumeandika hapa jukwaani. Nimeangalia mpira tangu 1990, arsenal hatuna timu ya kubeba chochote.Kinachoitajika ni arteta kutengeneza mfumo wa kumsaidia Zinny upande ule kama jana ilivyokua kwa Liverpool walivyokua wametengeneza muundo wa kumsaidia TAA upande wake,
Yan wachezaji jana wamepambana saana lakini bado huoni iyo hali hadi useme unawachezaji wawili tu kikosi huku sasa ni kuumwa na kuwakosea wachezaj heshima
Bila mshambuliaji hatuendi kokoteTumekosa magori mengi sana leo
Kuna haja tukasajiri mshambuliaji dirisha dogo