Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwahiyo kwa kuandika huko ndo unaoneka unajua mpira na kujinasibu umeangalia mpira toka 1990 kweli!!!??? Utakuwa umeusingizia huo mwaka lbd kama ulimaanisha 2019
 
Nimeandika.

Nikapitiwa na usingizi.

Nashtuka.

Tumekufa mbili bila
 
Hivi akili umezitolea wapi?humu members wengi sana umewashinda kwa IQ wengi they don't know football wanaendeshwa na hisia Arsenal ni ile ile akili kisoda since 2005
Kuna game tunahitaji ushindi Pepe akamkaba mtu akala red.

Xhaka anaruka tikitaka anatua kwenye mbavu ya mtu anakula red.

Kati ya game tulizotakiwa kushinda kati ya hizo tatu mbili tulianza kuongoza kwa goli 2.

Yaani timu yetu ni haiwezi kudeal na pressure. Kuanzia mwaka juzi ilikua tukitolewa shindano fulani baadhi ya mashabiki utaona wanasema bora tumetoka huko ili tufocus zaidi huku.

Mimi hua nawauliza ikiwa wanadhani tumetolewa kwakua sisi lengo letu ni kufocus na sehemu fulani pekee. Coz utanotice hua tunatolewa pale inapokua game ni ya pressure, tushatolewa hadi na timu za championship.

Mfano ingekua leo tupo nafasi ya kwanza na tuna points ambazo wa chini yetu hawazifikii hata wakishinda mechi zao hii game tungeshinda vizuri tu.
 
Sahihi Mkuu, possession Football imebaki kwa Pep tu ndio inayomlipa kwa Makocha wengine ni Kujidanganya tu.
Kwani huyo pep hafungwi na hiyo possession? Si huyo pep ndo katoka kusuruhu na kupoteza gem mfululizo. Kama unataka uwe unashinda tu wewe basi anzisha ligi yako na timu yako icheze yenyewe kamwe hutoona inafungwa
 
Kaeni kimya watoto mkiona kaka zenu tumeandika hapa jukwaani. Nimeangalia mpira tangu 1990, arsenal hatuna timu ya kubeba chochote.

Complete players ni wawili tu, Rice na Saliba. Wengine ni low to average squad players.
ya Saliba kuanza kupewa nafasi ya kucheza ulikuwa umewahi kuona kuwa ni complete player? Rice kabla ya kuja Arsenal kwa misimu kadhaa uliwahi kuona kuwa ni complete player? Unaweza kututhibishia??? Au ndo porojo za kuangalia mpira 1990. Huwezi kuwa serious wewe
 
Kwa kipindi hicho arsenal ilikuwa ovyo sana ukilinganisha na sasa. Pia kuna improvement kubwa sana kwenye hizo gem za pressure kama ulivyosema. Mechi ya leo na ile ya Villa ni wachezaji tu kutotumia nafasi lkn nafasi za wazi zilipatikana. Timu imecheza vizuri basi tu ni matokeo ya mpira ndo yalivyo. Ukiondoa kona chache walizopata West ham walifika langoni kwetu mara 2 tu na hizo mbili moja wakafunga na nyingine wakakosa penati
 
Kweli Gari bovu hilii... Week barabarani mwezii gerejiiii
Mantesa tunawapenda sanaa maana hata Mkiongoza Ligi mpaka mwezi wa 2 hakuna kitu mtaambulia...!!
Sisi na nyie ni nduguuu tofauti nyie mna kiherehere cha kujitia mwajuaaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…