Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyani waliovimbiwa
Screenshot_20231229-012901.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakua unaumwa sio bure
Wewe dogo grow up, ukiona nimeandika kitu jitahidi utafakari badala ya kuropoka.

Mpira naufahamu, nimeangalia mpira tangu 1990 na world cup tangu 1994 na nashabikia arsenal tangu 1995.

Narudia tena arsenal tuna complete players wawili tu, Saliba na Rice. Wengine ni low to average squad players.
 
Muwe watulivu. Kesho HAMISI na kundi lake watakuja kuwaonesha jinsi gani mmecheza vizuri vs West Ham. Chance mlizotengeneza n.k
Then mnaendelea kujipa moyo kwamba ligi mnaianza January then maisha yanaendele vizur kabisa.
Wanasema Epl ya kwao na Uefa wanacheza fainal Wembley
 
DECLAN RICE TANGU AHAME WEST HAM KAKUTANA NAO MARA MBILI MSIMU HUU NA ZOTE KALA ZA VICHWA ( EPL NA CARABAO CUP )

✍🏻West Ham walikuwa na mpango na waliutekeleza vizuri uwanjani kwa ustadi wa hali ya juu sana

1: Zuia ndani kwa idadi kubwa ya wachezaji huku kufunga space baina ya mstari mmoja na mwingine kwenye 4-4-1-1 na kuwalazimisha Arsenal kwenda pembeni zaidi

2: West Ham walijua kwamba crosses zote watakabiliana nazo vizuri kwasababu kwenye kimo wao wapo wengi warefu kuliko Arsenal

3: Kwenye counter attacks wana silaha nzuri ambazo pasi za James Ward Prowse na kasi ya Bowen Benrahma na Kudus .

✍🏻Arsenal ambacho walikuwa wanajitahidi kukifanya ni kama kile walichofanya dhidi ya Everton msimu huu tofauti ni kwamba mechi ile Goodison Park walishinda hii wamefungwa ... vitu vingi Arsenal walifanya kwa usahihi

1: Walivuta sana subira katika nyakati sahihi hawakuharakisha maamuzi ✅

2: Third Man Runs ( Trossard ) alizifanya sana pengine ulitamani mchezaji mwingine afanye pia

3: Mpambano wa 1v1 pembeni ya uwanja ulikuwa mpango wa Arsenal lakini West Ham fullbacks wao walikuwa vizuri wakisaidiwa na wingers wao ( Coufal na Emerson ✅)

4: Ball striking , ni Saka na Odegaard ndio walionekana pekee wapo tayari kupiga mashuti golini lakini wengine walizidisha sana upigaji wa pasi badala ya ku shoot golini

✍🏻Baada ya hapo mechi ilikuwa mechi ya nani anazuia vizuri na nani anashambulia vizuri ( kufunga )

NOTE

1: Martin Odegaard mguu kama kijiko 🔥

2: Martinelli form yake inatia sana wasiwasi

3: Walimsimanga mwanzoni mwa msimu lakini leo Arsenal walim miss sana Kai Havertz

4: Leo West Ham hata unashindwa kuchagua nani bora maana wote wamepiga kazi kubwa sana . Labda nitaje wote 🔥

5: Angelo Ogbona idadi ya blocks alizofanya sio masihara 🔥

6: Sanaa ya uzuiaji kwa West Ham 🔥

7: BASI TUTOE HILO MOJA AMBALO MNASEMA MPIRA UMETOKA ... TUFANYE 1-0 BASI

FT: Arsenal 0-2 West Ham United

#Ambangile
 
Am an arsenal fan ila bado sana arsenal kuwa na timu ya ushindani wa kibingwa....naanza kuelewa ufinyu wa ubora wa arteta he is a good coach ila the issue nae anaitumia arsenal kufika daraja la ubora...we dont need this kind of character aisee...tumestruggle for many years na hii timu ARSENAL deserves to win guys ...daah binafsi nmechoka sana kila sku tunajenga timu tu lkn haina ushindani...yani trust me liver hashikiki tena wana experienced coach halaf city akishinda kiporo tunalevel points nae ...haya kuna nn tena hapo
Ligi bado mbichi sana
 
Arteta ni takataka, anapaswa aondolewe arsenal. Timu inacheza mpira usiokuwa wa ushindani. Vipasi vingi, spidi ndogo na hakuna matokeo.

Timu zote zinazopaki basi na kupiga counter zinamsumbua kila siku. Hana jipya aende zake chap kwa maslahi mapana ya timu yetu.

Tena aondoke na hawa wachezaji laini akina Odegaard, Zinchenko, Gabriel Jesus na Kai. Hawa wanatupotezea muda, hawana output za mashindano makubwa.

Apotelee mbali na takataka kama Nelson, Nketiah, Jorginho, Ramsdale, Vieira, Rowe, Partey (trip shamba trip garage), Elneny, Soares nk.

Akina Martinelli, Trossard, Saka, Rice, Saliba, Magalhaes, Kiwior, Raya, White, Timber na Tomiyasu wanahitaji mwalimu mwenye akili ya ushindi, watafanya maajabu.
Sema wewe jamaa utakuwa unavuta bangi siyo bure
 
Am an arsenal fan ila bado sana arsenal kuwa na timu ya ushindani wa kibingwa....naanza kuelewa ufinyu wa ubora wa arteta he is a good coach ila the issue nae anaitumia arsenal kufika daraja la ubora...we dont need this kind of character aisee...tumestruggle for many years na hii timu ARSENAL deserves to win guys ...daah binafsi nmechoka sana kila sku tunajenga timu tu lkn haina ushindani...yani trust me liver hashikiki tena wana experienced coach halaf city akishinda kiporo tunalevel points nae ...haya kuna nn tena hapo
Hamjasema bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom