Arteta ni takataka, anapaswa aondolewe arsenal. Timu inacheza mpira usiokuwa wa ushindani. Vipasi vingi, spidi ndogo na hakuna matokeo.
Timu zote zinazopaki basi na kupiga counter zinamsumbua kila siku. Hana jipya aende zake chap kwa maslahi mapana ya timu yetu.
Tena aondoke na hawa wachezaji laini akina Odegaard, Zinchenko, Gabriel Jesus na Kai. Hawa wanatupotezea muda, hawana output za mashindano makubwa.
Apotelee mbali na takataka kama Nelson, Nketiah, Jorginho, Ramsdale, Vieira, Rowe, Partey (trip shamba trip garage), Elneny, Soares nk.
Akina Martinelli, Trossard, Saka, Rice, Saliba, Magalhaes, Kiwior, Raya, White, Timber na Tomiyasu wanahitaji mwalimu mwenye akili ya ushindi, watafanya maajabu.