arsenewenger
Member
- Apr 26, 2023
- 18
- 21
Naamini leo tunashinda pasipo shida..
Tembo mtini hadi new year..
Tembo mtini hadi new year..
Tupumzishe tumalize walau mwaka vizuriWanasaka furaha maana wapo hoi
Ngoja tuanze kuwapelekea moto jukwaan kwao
Hiyo kazi naianza week hii
Manjesta kila mechi kwao ni big match, sio na timu ndogo wala timu kubwa.. Ndio maana wako hapo walipo.Yaani tactics zenu zimeiweka Arsenal kwenye top spot afu nyie wenye tactics mpo huko mlipo, interesting…
Usichoelewa ni kuwa hizi timu ndogo zikikutana na manjesta zinamuona ni mwenzao kiuwezo hivyo zinafunguka kutafuta matokeo ndio maana anabahatisha kuzifunga kirahisi ila wakikutana na Arsenal wanakaa wachezaji 9 nyuma ya mpira na wakijaribu kupishana basi dhahma itawakuta cc: mkorea
Over my deadbody copy this comment, if it happens kill yourselfArsenal have to go on an incredible run because they know Manchester City and Liverpool are going to be right in the mix come the end of the season.
Mikel Arteta will probably be thinking his side have got to win every game from now until the end of the season to really have a chance of winning the league.
That's the levels and the standards that they have all set for each other. They keep driving each other on year in year out.
Wakafie mbele na mechi na man united tutawauaNawatakia gunnerz wote heri ya mwaka mpya na ushindi zidi ya wagonga nyunndo.. COYG
Shemale andamizi hilo
Paqueta injured in the warm up, so will not take part
Miso misondo atakuwa anajuaSoucek kashangiliaje hapa