Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
We miss Kai, kazi ipo leo
Hii ndio asenali sasa,hiyo tunayoichambau kwa sababu zote kuwa n moja ni kuongopeana tu na kujilisha upepo asenali bingwa.😂😂😂Utaniutani hivi muda unaenda,Timu inashangazaga sana hii
Na hii kitu moyes atamchapa nayo sana arteta 😂😂😂😂 yaan kazi rahisi kama unanawa kwake moyes,na hata kesho wakirudiana arteta atachapwa tena mpaka akili imkae sawa😂😂😂West Ham hawapress juu, wao wanatuacha na mpira mpaka tukivuka mstari wa kati, baada ya hapo wanakua compact kati kati, no space between the lines, kwa kifupi wanafunga njia zote!
Game hii nliihofia mapema nikaamua nirudi geto kuchungulia livescoreMpira wa leo ni maudhi tu bora nisingeangalia.
Moto aliopelekewa westhamha wanatamani like goal la kupewa lingekataliwa tu
Kipindi Cha pili tunaingia na full attack strikes
Trossars ata tuokoaMoto aliopelekewa westham wanatamani like goal la kupewa lingekataliwa tu
Kipindi Cha pili tunaingia na full attack strikes
Tuko wengi, nachungulia live score tu😄🤒Game hii nliihofia mapema nikaamua nirudi geto kuchungulia livescore
Cheat code ya usajili hiyo ila asenali walivyo wataruka ruka weeeeGame tumeimudu sema bado tuna utoto mwingi kwenye umaliziaji, Hope second half tuta push
🤩 artitaWestham wataondoka Kama walivyokuja
Points 3 zinabaki Emirates
Kipindi Cha pili, kila ukatili unao ujua wewe ndio watakaofanyiwa hawa wapuuzi
Trossad saka odegard Jesus martinelTrossars ata tuokoa