Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Sio jambo, huo ndio mpira, unataka watu wawe wanyonge!?! Haipo hiyo
Jifariji ila point tatu zimebaki
Jifariji ila point tatu zimebaki
Nketiah hta angefungajeKuna jamaa alikuwa anasema mashabiki wa Arsenal ni makondoo sasa naamini japo huwa sipendi kutumia neno wanyama au kutoa maneno ya kukera kwenye jukwaa. Lakini hili ngoja niliseme na lipite.
Kwann ni makondoo kwasababu juzi tu Nketiah amefung hat trick. Mlimpamba kweli kweli mara bonge la mchezaji mwenye hat trick pekee ipielo
Leo imekuaje mnapondaaa ? Tuendeleeni kuburudika. Hakuna timu isiyo fungwa ipielo ukifungwa unajipanga upya safari inaendelea. Lakini kwenu ni tofauti mnataka mshinde mechi zote mnafikiri mna boraaa kuliko zingine.
Sio jambo, huo ndio mpira, unataka watu wawe wanyonge!?! Haipo hiyo


Vayolence time. Leo ngoja tuwe wapole. Wengine tutarudi J4 before Sevilla gameBinafsi huwa sipendi ku support na kutazama timu zenye matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili.
Mourinho, Simeon, na Eddie howe sio makocha ninaowapenda
I like Guardiola, cruyff, wenger and the likes, I love good football
We mwenzangu umevutiwa kipi na Newcastle?
hio ni mbinu yakuwaliza ilitumika , kina viera, cygan, wiltord walikua hawatumii nguvu sio?
je mpira ulitoka nje?, gabriel kafanyiwa foul au gordon alikua offside ?? 





Mpira ni mbinu. Hata kwenye maisha hatuwezi wote kutoboa kwa njia moja. Kila mtu ana namna yake ya kupata kinachomfaa. That's all, malengo yafikiwe tuBinafsi huwa sipendi ku support na kutazama timu zenye matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili.
Mourinho, Simeon, na Eddie howe sio makocha ninaowapenda
I like Guardiola, cruyff, wenger and the likes, I love good football
We mwenzangu umevutiwa kipi na Newcastle?
Hiki ndo kitu Mnashindwa eleweka Nyie Jamaa tupo GW 11 sawa na wastani wa Dakika 990 ila Partey ana Dk 254 tu Msimu Huu hii ina maana amekosa takribani theluthi Mbili za Mechi zenu kwa Dakika 736 ambazo hajazicheza Leo hii mnasema angekuwa Mkombozi wenu, PARTEY KAANZA MECHI 4 tu, sasa leo hii anageukaje LULU mnayoiimba Humu.kile kikosi cha jana ni Partey tu....angekuwepo zile vurugu za wale ndugu zetu zingepungua zaidi na mipira ingekuwa inaenda mbele zaidi kuliko ilivyokuwa inarudishwa nyuma na Georginho
Hiki ndo kitu Mnashindwa eleweka Nyie Jamaa tupo GW 11 sawa na wastani wa Dakika 990 ila Partey ana Dk 254 tu Msimu Huu hii ina maana amekosa takribani theluthi Mbili za Mechi zenu kwa Dakika 736 ambazo hajazicheza Leo hii mnasema angekuwa Mkombozi wenu, PARTEY KAANZA MECHI 4 tu, sasa leo hii anageukaje LULU mnayoiimba Humu.
Ngoja nkuweke sawa kitu Kimoja Miaka yote EPL inasifika kuchezwa na Nguvu nyingi, Sina hakika kama ushawahi Ishuhudia Blackburn ya kina TUGAY, ROBBIE SAVAGE and Co. Birmigham City, CHARLTON, EVERTON, Bolton, Portsmouth, na Mpakaleo hukosi timu ya aina hii! Ni timu zilijengeka kwa Matumizi ya Nguvu haswa na hata wastani wa kimo unakuta ni 6ft kuendelea. PARTEY Mnayemsema ARTETA baada ya kumpata RICE alikuwa huru kumwachia ingawa Mwanzo mwa Dirisha alikuwa anasema ni "Super Important Player" GUARDIOLA Hili kaligundua angalia Back 4 yake na 3~2 wake wa Build Up ni 6ft+ huwezi fanya Bullied compare na Nyie ambao mna wachezaji Giants lakini "Nyoro nyoro" sana
Walichokifanya NEWCASTLE ni muendelezo wa kilichofanywa na W/HAM kwamba Nyie MD's zenu zikiwa Bullied ni rahisi kuwatoa mchezoni. Umesema Nature ya Goli ndo ina ukakasi ila hujaweka wazi ni Upi {Mpira kuwa nje, Faulu ama Offside}. Kingine kikubwa Nje na Hayo Mpinzani Mfunge Nyingi akikifunga 1 la utata una Mengi ya kushinda Point, attacking Yenu unaielewa siku za karibuni mkikutana na wapaki basi na Bullies?? zaidi ya yote RICE na SALIBA hawatakiwi kabisa kuwepo kwenye Losing side.



ngoja tuone juma tano Uefa itakuaje


.Kai na Jorginho ni wakubwa kuliko Arsenal nzimaKai havertz na Jorginho mbona mnawabebesha lawama kila siku, kwani hawa wachezaji walikuja bure ama? Tupige gharama zao tuone maana sidhani kama wanapungua si chini ya paundi million 70.
Kai havertz mfungaji wa final uefa na Jorginho ndo mchezaji bora wa uefa sasa nyinyi arsenal hakuna mchezaji mwenye profile kubwa kama hao wachezaji 2 then mnawakataa.
Hii inaonyesha jinsi gani hamuendani kabisa na UEFA yaani analalamikiwa kai havertz na jorginho haya kina saka na ben white jana wamefanya nini cha maana.
Hawa wanaonewa jorgihno ni UEFA player of the year na Kai ni champions league winner ,ni ndoto ya Kila mchezaji wa arsenal Kupata walichopata hawa wanaume wawili .SAKA na MARTINELL si ajabu wakamaliza maisha ya mpira Arsenal bila champions league ,kama beghkamp na Henry ,wiltod ,pires ,viera,lumberg walishindwa hawa mbarara itakuwa jambo la ajabu.Kai na Jorginho ni wakubwa kuliko Arsenal nzima
Aiseeeee..Mkuu kwani wewe ni mgeni wa mashabiki wa Arsenyo?
Hili jukwaa la Arsenyo ni zuri siku timu ikishinda, kutwa kusifia ujinga na kupeana false hopes ila siku ikifungwa inakua ndio siku ya kutoa nyongo kwa wale waliodanganywa kwa muda mrefu na kuaminishwa matumaini hewa.
#Hii sasa ndio Arsenyo ya asali na maziwa.
#Mirembe Anbitabo Fc
View attachment 2804045
False hopes ni kitu kibaya sana ,ina watu wanataka kutwangana Mangumi humu..


Mpaka muda huu Spurs ni Unbeatable halafu Arsenyo ni kiportable. Mpira ulikuwa out of play acheni kuchambua kitu cha wazi kabisaVAR walikua sahihi kwenye maamuzi yao. Waliangalia vitu vi3 na wakajiridhisha bao lilikua halali
Mpira kutoka nje ya uwanja. Ili kuthibitisha mpira haujatoka nje kwa case kama ya jana kamera ya kutokea juu (bird's eye) hutumika kwa sababu camera za angle nyingine hazitoi majibu sahihi na kwa kamera za jana uwanjani hakukuwa na camera ya birds eye
Kumbuka mechi ya kombe la dunia Japan vs Germany
View attachment 2804609
View attachment 2804663View attachment 2804646
Faulo?. Hapana ile sio faulo hatukatai Gabriel aliguswa na mikono miwili. Lakini bado aliweza kuruka na kutaka kuucheza mpira alivyoona ameukosa akajiangusha
Offside? Nafikiri watu tumeona ile sio offside
Ukiangalia kwa jicho lisilo la kishabiki utakuja kugundua kuwa maamuzi yalikua sahihi. Labda useme VAR hawaana consistency walishakataa bao kama hilo Man U vs Brighton