Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila nyi jamaa, haiwezekani jukwaa zima muwe mnasikiliza ushauri wa watu watatu, masingeli na chawa zake. Amkeni nyinyi. Kataeni utumwa.


Zero UCL
Zero EUROPA

Mjitahidi next year mwende CONFERENCE league, japo tunajua na kule mtatia aibu tuu.
Watumwa
 
Hawa mashabiki wa ukengeni wamekuwa na kelele kashfa,mdomo mrefu

Hivi Kuna mashabiki walikuwa na mdomo Kama wa manjesta?

Tuliahidi kuliteka jukwaa Lao na Sasa limekuwa Gofu


Sasa Ni zamu ya hawa Kenge wa Darajani

Operation inaanza leo ,kuhakikisha jukwaa la ukengeni fc linakuwa Domant

Dharau zimezidi Sana
Balaa MC
 
Ni time ya Ramsdale kurejea golini sioni ambacho Raya kamzidi sana Ramsdale naye apewe game time sasa maana wote kwa kutoa maboko hawajambo but naona Raya katika game 4 za mwisho katoa maboko mengi sana Arteta ampe game time Ramsdale vs Sevilla

Siwezi laumu sana Raya kwa goli la pili; hata mfungaji Ali- gamble from that position
 
Saka hayuko fit lakini ametoa Assist mbele ya Cucurella aliyemkamia!

Leo nimeamini Chelsea fans hawajui mpira kwahiyo Cucurella kamficha Unfit Saka with Assist [emoji23][emoji23]
 
Declan Rice:

"All the subs that came on today were outstanding. It's a massive team effort.

It's about the team always and I think we showed today great heart and character." [sky]
 
[emoji837][emoji836]️ | [emoji991] Declan Rice via his IG after 2-2 draw with Chelsea.

“We never give up. [emoji837][emoji836]️”

The Gunners midfielder scored a stunning goal to get his side back into the game. [emoji50]‍[emoji100][emoji736] #AFC #CHEARS
20231022_093348.jpg
 
Crucial goals against Man United & Chelsea plus a commanding performance against defending champions Manchester City last week, Declan Rice is showing every one why Arsenal paid 100M+ to sign him last summer. He has been PL summer signing of the season so far, a proper baller.[emoji91]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom