Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Msimu huu tuna iyo timu inasaka matokeo muhimu inaHamna timu pana ninyi, asingecheza Saka hiyo assist angetoa nani? RW angecheza nani
Na hii ndiyo itakayoifanya Arsenal msimu huu mshindwe hata kubaki top 4, mkikumbwa na majeruhi kama yetu ndipo akili yenu itaelewa maana ya deep squad
Ode out
Zinny out
Martinel out
Jesus out
Hii msimu ulioisha tulikua hatuna uwezo huo hata kidogo ila saivi sub zinafanyika na wanaoingia wanaenda kutupa tunachoitaj kuanzia game ya carabao na city,ligi na city, ligi ya United na hata game ya chelsea ya leo..
Kwaiyo huwez kusema hatuna upana wa kikosi wakati kila kitu kinajionyesha