Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matokeo ya Mechi ya Simba na Ahly yawe fundisho kwa mechi ya kesho ya Arsenal na Chelsea,wengi walijua Simba atafungwa magoli mengi lakini haikuwa hivyo,sasa matumaini ya KIPUUZI tunayoaminishwa na kina Hamis humu kwamba eti kesho ni USHINDI kirahisirahisi tu kana kwamba wachezaji wa Chelsea wana mguu ni vema yapuuzwe,Mpira una matokeo ya ajabu sana
Sawa Sheikh Yahaya.
 
Aaaaaah leo tutacheka sana hapa Wenger orphans jinsi watavyorambwa
1696149237999.jpg
 
Game ya leo sitarajii iwe nyepesi, ukizingatia ni derby na chelsea ni kama vile wameanza kujipata pata,watataka wazindukie kwetu rasmi.
Kuna katabia ka mtu kuwekea rekodi kwetu, mudryk leo ni wa kumtizama sana, anaweza kutufunga.

Yote kwa yote natamani tushinde nyingi, tuoneshe userious wa kulisaka kombe
 
Nawaambia nyie Arsenane huyo @Hamis7 anawaingiza mkenge alafu mambo yakiwa mabaya anawakimbia kwenye jukwaa Leo Ndio mwanzo wakuwarudisha kwenye nafasi yenu halisi the rest team watacopy kwetu kwa namna tutavyowakalisha na baada ya hapo vichapo vitawasubiri
ASENANE NI MTOTO MDOGO KWETU THE BLUES ,CHAMA LA WANA ,CHAMA KUBWA .
 
Nawaambia nyie Arsenane huyo @Hamis7 anawaingiza mkenge alafu mambo yakiwa mabaya anawakimbia kwenye jukwaa Leo Ndio mwanzo wakuwarudisha kwenye nafasi yenu halisi the rest team watacopy kwetu kwa namna tutavyowakalisha na baada ya hapo vichapo vitawasubiri

A sign of fear..
 
Nasema hivi nalitaka jukwaa lenu
 
Dadekii 🤔
Mikel Arteta’s Arsenal in 2023/24 in the Premier League so far:

  • 6 Wins
  • 2 draws
  • 0 losses
  • 16 goals scored
  • 6 goals conceded

Arsene Wenger’s invincibles in 2003/04 in the Premier League:

  • 6 Wins
  • 2 draws
  • 0 losses
  • 16 goals scored
  • 6 goals conceded

The Arsenal Invincibles 9th game of the season was Chelsea.

Identical.
 
20231021_151445.jpg
 
Back
Top Bottom