Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game yetu na Liverpool pale Anfield kitanuka, hii mechi ni kipimo sahihi kama tutachukua ubingwa, uzuri Declan Rice yupo pale kati anachafua mwanzo mwisho.
 
Sitii neno
Snapinsta.app_393585203_1326989088189042_5681836064635374465_n_1080.jpg
 
[emoji599]Bukayo Saka, Martinelli Jesus and Jorginho feature in the Arsenal XI. Strong side to face Chelsea.

[emoji3596]More lineup news on our AFTV blog
 
[emoji599] ARSENAL XI

Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Jorginho
Rice
Ødegaard
Saka
Jesus
Martinelli

Partey anaanzia benchi
Hili la Jorginho kuanza nililiona. Kwa kweli kumuamini Jorginho kwenye big matches kama hizi huwa nashindwa kuelewa.
Against small teams, fine! Ila sio kwenye London derby huku tukitaka kukaa juu ya msimamo.

Sawa, acha tumuamini kocha ila kiukweli unfit Partey ni bora kuliko fully fit Jorginho.
 
Partey tunamuhitaji Sana , for the rest of season ,

Kwa mechi hii sio mbaya Sana Jorginho akamate kiungo na Zinny
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom