Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Cheki false hoper mwingine huyu mpaka mwisho wa msimu akiwa kwenye illusion hii si anaweza kuchanganyikiwa huyu 😂.Game ngumu hapo ni luton town ambayo tunaicheza nayo 5 December
Waliobaki wote FIMBO zinawahusu. Yan goal 2+
Westaham tutamfunga ila kitachafuka Sana, coz ni derby
Newcastle anaweza akala mkono, hili ni kama tawi letu kwenye kukusanya maokoto ya points
Kenge sioni sababu ya kutaka kuingiza team uwanjani. Watupe Ushindi wa mezani tu ili kuepuka dhahama
Arsenal hapo point atachukua kwa Sheffield tu , vingine vyote ni vichapo na draw tu hasa pale st james.