Kuna 80% saka atakuwepo, pia Leo jion tutajua Kama Nelli atakuwepoKama mbwai ni mbwai tu
100% Kenge lazima akutane na balaa hilo
Lakini wewe Flano hata kama timu yako ipo maji ya shingo hukosi cha kubwabwaja



hili ni chama la wana, iwe mvua iwe jua lazima niwemo humu kuwapiga spana kina Masingeli & co-workers. 




Yaani wewe inabidi Kesho mpigwe Tena Hakuna namna kwasasahili ni chama la wana, iwe mvua iwe jua lazima niwemo humu kuwapiga spana kina Masingeli & co-workers.
Tokea naanza kushabikia Epl watani zangu ambao pia ni marafiki zangu walikua ni Arsenal fans, hivyo utani wangu na misukule ya mzee Wenger ulianza tokea mwanzo wa makuzi yangu.
Nikiomuona shabiki yoyote wa Arsenyo hua namchukulia kama my brother from another mother.
Ninachowakubali Arsenal fans nyie ni watu wema sana hamnaga baya na mtu![]()
Masingeli hivi unatambua kua Roma haikujengwa kwa siku moja?Flano
Kwasasa umekata tamaa na timu yako umeamua kuhamia huku?
Lakin niliwaambia kwasasa mnaona aibu kulamba matapishi yenu
Erik 7 hag a Dutch David Moyes
Master of Taliban Football
Superior of Haram footballView attachment 2773381
Mtoe Kai hapo muweke NketiahAnother possible lineup View attachment 2773392
Amka usingiziniMasingeli hivi unatambua kua Roma haikujengwa kwa siku moja?
Huyu 7 Hag ni Ferguson mtupu, tukimvumilia ndani ya misimu 3 nakuhakikishia ule utawala wa Epl kipindi cha Ferguson utarudi tena pale United.
Misukosuko anayoipitia sasa hata SAF nae ilimkuta na watu kama nyinyi kina Masingeli walishupaza shingo SAF afukuzwe. View attachment 2773396
Mtoe Kai hapo muweke Nketiah


Nketiah sio mzuri kwenye kuwin aerial duel. Kai anajitafuta mechi ngumu kama ya city sioni akianzaNketiah sio mzuri kwenye kuwin aerial duel.
Kwani si tulishakubaliana wote humu kua tunamuona Mesut Ozil kwenye miguu ya Kai?
Tena mpaka Thierry Henry alituaminisha kua Kai Havertz has some similarities with RVP sasa wasiwasi wenu ni nini wana Gunners?
Aisee uliangalia mech ya fainal Community shield?Mtoe Kai hapo muweke Nketiah
Ila nyumbu bhanaIla nyi jamaa, haiwezekani jukwaa zima muwe mnasikiliza ushauri wa watu watatu, masingeli na chawa zake. Amkeni nyinyi. Kataeni utumwa.
Zero UCL
Zero EUROPA
Mjitahidi next year mwende CONFERENCE league, japo tunajua na kule mtatia aibu tuu.
Tupunguze mahaba mkuu, kwa sasa Kai anatukaba bado anajitafutaAisee uliangalia mech ya fainal Community shield?
Kai as false 9 ,
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwez kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz
Kai akicheza CF ana advantage nyingi kuliko nketiah
Kai atakusaidia kwenye kiungo , Aerial duels, kuzunguka uwanja mzima .
Kai as LCM ana mapungufu kuliko Kai as CF ana upungufu wa ball striking tu
hapo Kai ndio yupo kwenye peak yake,tusitegemee kama atakuja kuwa na kipya zaidi ya anacho-offer leoTupunguze mahaba mkuu, kwa sasa Kai anatukaba bado anajitafuta
Ukiangalia last season Granit alikua anamsaidia sana Zinny kukaba na pia penetration passes kwenye box la mpinzani zilikua za kutosha
Kai bado hajafit kwenye mfumo, akifit wote tutaona mpira mchezo wa wazi kaka