Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Nimesema mpaka kuombea poo leo , hatucheki na kima leo
Mtalala na viatu , mmeyakanyaga leo



Leo Marastafali kazi yenu ni moja tu ya kuwavutisha Arsenyani bange. Hawa kima wanatakiwa leo wamalize misokoto mitatu ili warembue vizuri.
Nmefurahi sana Mudryk alivyowagonga maana walikua wanamuandama sana, sasa hivi Masingeli atafunga bakuli lake la kumsimanga mtoto wa Zelensky.


