makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,768
- 103,710
Kabla ya game kuna jambo nilizungumza, ile comment sijui naipataje..
Tunasbr mkuu tuone wana rost nn jikon.Trossad au Rowe
Kuna kitu kinapikwa hapa
😂😂😂Hadi dakika hii, tunauwezo wa kuimwaga sare
Kuondoka na points tatu ni uwezo binafsi wa wachezaji
Sawa.Hadi dakika hii, tunauwezo wa kuimwaga sare
Kuondoka na points tatu ni uwezo binafsi wa wachezaji
Kaamaua kutuosheaBado hamjasema ,mtasema tu ....

2-2 🤣😂Tulia
Wanapika nn tuambie mkuu.Kenge nimeanza na nyie namaliza na nyie
Trossad niliwaambia Kuna kitu kinapikwa
adriz Mufti kuku The Infinity acha vituko aseeKenge nimeanza na nyie namaliza na nyie
Trossad niliwaambia Kuna kitu kinapikwa


arsenyeto bana