Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta acheze vizuri kwenye sub
Partey
Trossad
Kai
Nketiah

From my point of view, partey anatosha kuleta dynamic nzuri pale Kati,
Defensively joginho sio mzuri hii inasababisha saka, martinel, odegard, jesus wasiwe huru Sana Kule mbele

Bring in octopus tumalize game[emoji91]
 
Niliandika kabla ya Mechi kumwambia huyu Mhuni HAMIS kwamba ajifunze kumheshimu Mpinzani,aache kudanganya watu humu na VITAKWIMU vyake vya KISENGE,haya dakika 45 hatuna hata on target moja[emoji17]ni mazuzu tu ambao huwa wanamuamini na nyuzi zake za KIPUUZI humu jukwaani
Muuwe piga kabisa kichwani
 
Arteta acheze vizuri kwenye sub
Partey
Trossad
Kai
Nketiah

From my point of view, partey anatosha kuleta dynamic nzuri pale Kati,
Defensively joginho sio mzuri hii inasababisha saka, martinel, odegard, jesus wasiwe huru Sana Kule mbele

Bring in octopus tumalize game[emoji91]
Ni sahihi lakini Mketiah hapana
 
Hapa tupambane angalau tupate hata Draw,tuache kuamini matumaini ya kisenge anayotupaga huyu Mhuni HAMIS,kila siku huwa nampinga humu,lakini akianzaga kuwajaza upepo humu utadhani wachezaji wa Arsenal wana miguu mitano na wapinzani miwili,halafu anajiita mchambuzi nguli kumbe mchambuzi NYUMBU tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom