Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Ramsadale naona hata sub hayupo
Au ameanza kuvimbiana na kocha?
Au ameanza kuvimbiana na kocha?
Ukweli mchungu, ngoja tuone game huenda coach kuna jambo kaona.Hili la Jorginho kuanza nililiona. Kwa kweli kumuamini Jorginho kwenye big matches kama hizi huwa nashindwa kuelewa.
Against small teams, fine! Ila sio kwenye London derby huku tukitaka kukaa juu ya msimamo.
Sawa, acha tumuamini kocha ila kiukweli unfit Partey ni bora kuliko fully fit Jorginho.
Mkewe anajifungua sijui, kitu kama hicho, sina hakika saana.Ramsadale naona hata sub hayupo
Au ameanza kuvimbiana na kocha?
Mke wake anajifunguaRamsadale naona hata sub hayupo
Au ameanza kuvimbiana na kocha?
Wanajifungua ye na mkeweRamsadale naona hata sub hayupo
Au ameanza kuvimbiana na kocha?
Ila kiungo ya Jorginho na Zinny haifanyi vizuri kama ilivyo kwa Zinny na Partey.Partey tunamuhitaji Sana , for the rest of season ,
Kwa mechi hii sio mbaya Sana Jorginho akamate kiungo na Zinny
Acha umbuzi, cheli kalio lazima mpasuliwe😆🤣🤣Wanajifungua ye na mkewe
Game kama hizi ni kuzi kill mapema sana sio kusubil hadi jioni kama game ya city, tia partey watu watafutanePartey tunamuhitaji Sana , for the rest of season ,
Kwa mechi hii sio mbaya Sana Jorginho akamate kiungo na Zinny
7:30PM bado kidogoAcha umbuzi, cheli kalio lazima mpasuliwe😆🤣🤣
Hope jorginho atapaform vizuri Leo..
Yap, ofcoz man the one and only hope we have frm sub..We expect to see Partey at a later stage of the game
Mke wake kajifunguaRamsadale naona hata sub hayupo
Au ameanza kuvimbiana na kocha?
Wanajifungua ye na mkewe


sasa mbona clinik wanahuzuria baba na mama kwani wote wana mimba?Itakua Arteta hamuheshimu kabisa mpinzaniJifunze kumheshimu Mpinzani,acha kuaminisha watu ujinga humu,hao wote ni wanaume 22 wenye miguu miwili kila mmoja,hata wale LENS uliaminisha watu ujinga mwisho wa siku tukagongwa,jifunze kumheshimu Mpinzani wako