Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haitakuwa mara ya kwanza kufungwa na Chelsea na haitakuwa mara ya mwisho kumfunga chelsea.whatever result
 
Aaaaaah Ni rahaa tupu wakubwa [emoji16][emoji16]
1696149237999.jpg
 
Nimesema mpaka kuombea poo leo , hatucheki na kima leo
Mtalala na viatu , mmeyakanyaga leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo Marastafali kazi yenu ni moja tu ya kuwavutisha Arsenyani bange.
Hawa kima wanatakiwa leo wamalize misokoto mitatu ili warembue vizuri.
Nmefurahi sana Mudryk alivyowagonga maana walikua wanamuandama sana, sasa hivi Masingeli atafunga bakuli lake la kumsimanga mtoto wa Zelensky.
1697910285213.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom