toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
Kawaida sana
Kawaida sana
[emoji23].Kenge zinapata wapi nguvu ya kuingia humu?View attachment 2786755
Hili goli la Mudryk unachukulia mkopo World BankDk.22 Arsenal 0 on target.
Lile bichwa la mudryk unachukulia mkopo bank.
Bado hujasemaHahaaa,ni mechi mkuu
Yupo na Pampers muda huuMasingeli yupo wapi jamani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Naomba record zikutambue ulisema haya tangu jana. [emoji419]Matokeo ya Mechi ya Simba na Ahly yawe fundisho kwa mechi ya kesho ya Arsenal na Chelsea,wengi walijua Simba atafungwa magoli mengi lakini haikuwa hivyo,sasa matumaini ya KIPUUZI tunayoaminishwa na kina Hamis humu kwamba eti kesho ni USHINDI kirahisirahisi tu kana kwamba wachezaji wa Chelsea wana mguu ni vema yapuuzwe,Mpira una matokeo ya ajabu sana
AnaharaaaaaYupo na Pampers muda huu
A single matchHamna timu ya ubingwa. Tafuteni kocha wa kueleweka.