computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Nketiah ana miaka mingi Arsenal but no improvement ni MBAHATISHAJI sanaKwanini mkuu?
Mimi nketiah namsapoti Kama mchezaji wa Arsenal , but Kati ya Nketiah na Kai ukiniambia Nan aanze CF nitaenda na Kai ,
Nketiah anatukaba ,ana faida moja tu anayowazid Jesus na Kai , finishing Tena Ina siku na siku
Kai akicheza CF anaweza asifunge ila atakupa faida watafunga wengine sio nketiah



