Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hayo Mambo sio ya kukubali kwa amri yako, Ila unajikuta una amrishwa
Babu leo Kushida sahau itafosiwa draw kipara kasha fanya calculation zake anatoka na 3 pts subirin muda utaongea
 
Turushe jez au tuingie hivi?View attachment 2775427
3 of those players ares doubt to be injury nikama mnawafosi leo wakiwashe consequences zake mnakuja kulia baadae injury prolonged zimewatoa kweny reli

Huyo saka wala martineli sio wakuanza leo mnatengeneza bomu la baadae na hata partey hayuko fully recovered msiwe na expectations kubwa hapo kati mtamilikiwa mpira hamtoamini
 
Mgonjwa ni Timber peke yake vyuma vyote vipi fit Kali kit
 
Ikitokea city anafungwa leo na Liverpool anashinda
Leo msimamo unakuwa wa
1.Arsenal 20pts
2.Spurs 20pts
3.liverpool 19pts
4.City 18pts

Arsenal fans mtamsamehe bure city leo hata yeye
anakibarua kazi na legacy ya kutetea na sio kuwa
Baba huruma

A draw is goin to be a fair results honestly ila
mkijikuta wakahidi basi lolote litawakuta
Y'all be physical and mental prepared for anything
Coming from tactical master magician the Goat
Pep Guardiola

Master v/s Student
Tactics v/s Tactics
Yani city wakae position 4 afu watu waende break akijua juu yake wako kina arsenal na muhuni Liverpool ahhhhh weee leo
Atalambwa mtu
 
Manjesta hata kupiga pass 10 hawezi ,lakin wanaamini wataingia top 4

Ila Arsenal ya maziwa na asali kusema tutatoa vipigo na kucheza fainal UCL mtu anabisha

Mbona lipo wazi tunacheza fainal Wembley mwaka huu

Ngoja ninoti hii coment
 
City niliyokua naijua Mimi ni Kdb, bernado na gundogan

Gundogan amesha amsha
Kdb mgonjwa plus umri utaanza kuongea achana na fatigue
Bernado nae analazimishwa kucheza ila ni majerui yule

We are going to dominate each and everything inside and outside the pitch
#COYG
 
Leo City anakufa vizuri tu
Snapinsta.app_386587223_1001480334239675_8541745083226263548_n_1080.jpg
 
City niliyokua naijua Mimi ni Kdb, bernado na gundogan

Gundogan amesha amsha
Kdb mgonjwa plus umri utaanza kuongea achana na fatigue
Bernado nae analazimishwa kucheza ila ni majerui yule

We are going to dominate each and everything inside and outside the pitch
#COYG
No kdb No rodri No Gundogan No silva No Mahrez

No Problem
Screenshot_20231008-145822_Instagram-01.jpg
 
Alafu inaonekana unaishi kwa kukariri
Zinchenko
Partey
Saka

Unawaachaje hao kwenye hiyo combination?
 
Miaka miwili nyuma, walikua wanaingia wachezaji wote wa city
Bado hauoni kitu tu?
City inaitwa quality team for a reason kiongozi wala sio individual brilliance ni amount of unity effort ethics tactics and team work determination alongside maturity

Yani kama midfield ya bussouma / sar iliwapoteza ki possession utasema ni majina makubwa yale au tactics za ange ball in pressing and overloading

Imagine rice partey ode mbele ya stones ( kova lewis alverez)

Wing ya kai Jesus saka mbele ya doku halland foden

Raya v/s ederson

White saliba gabriel zinny mbele ya walker ake gvadiol dias akanji
 
Tunalaumu United ina wachezaji wazuri ila kocha hajui kuwaunganisha kimbinu.

Hicho alichokishindwa Eriki Kichwa Ngumu Pep amekifanya kwa City for years. Acha hela zao za visima na Dad Sheikh lakini hiki ndicho wanatuzidi.

Ability ya kuset tempo ya mechi. Hiko ndiyo hatujamaster, haswa tukicheza na timu ambazo zina team work ya kwenda toe to toe na sisi.

Kama ukiiangalia Arsenal na City ya sasa unaona Arsenal anaweza kushinda huku anamnyanyasa City basi unakosea vibaya mno.
 
Shabiki wa manjesta anakwambia Rice hawez kucheza Lone DM ,

Anafananisha Arsenal na manjesta ya 7hag
Mbona msimu bado mapema sana, mmecheza na timu gani ya maana ukitoa Spurs & United. Kwahiyo ulitegemea mtumie 105m halafu muwe dominated na PSV au Everton au Fulham.

Subiri mtakapocheza top level football (in the long run) ndiyo mtajua, leo tunawafatilia wazee wa ku-overload.
 
Tunalaumu United ina wachezaji wazuri ila kocha hajui kuwaunganisha kimbinu.

Hicho alichokishindwa Eriki Kichwa Ngumu Pep amekifanya kwa City for years. Acha hela zao za visima na Dad Sheikh lakini hiki ndicho wanatuzidi.

Ability ya kuset tempo ya mechi. Hiko ndiyo hatujamaster, haswa tukicheza na timu ambazo zina team work ya kwenda toe to toe na sisi.

Kama ukiiangalia Arsenal na City ya sasa unaona Arsenal anaweza kushinda huku anamnyanyasa City basi unakosea vibaya mno.
Kisha unaambiwa Manchester City fans wanaogopa game ya leo vs Arsenal game, inawezekana leo tukapata positive results itakuwa ni ujinga mkubwa kulose 13 games in a row vs Manchester City wakati EPL Tittle tunaitaka
 
Back
Top Bottom