Rice kani prove wrong kwa kweli.Zile debate zao za kijinga jinga kuhusu Declan Rice na other £100M signings kwenye premier league zimeanza kukosa nguvu, taratibu maji yameanza kujitenga na mafuta. A top baller.
Yule halland anawaonea mabeki wasiotumia akili
Aje tu tuzungumze kiume...maana ana shombo sana bwana mdgo...kelele nyingiii...alitusema sana sisi tulivyo draw na West Ham season ilopita...Sasa yy leo sijui ameshinda au vp🤠🤠🤠...nilimwambia na ntamwambia tena..hata UEFA ni suala la muda tu....kauli zitabadilika mechi zikiwa zinaenda mwshoni...ameshikilia nafasi za watu kwa mdaHuyo unapoteza MB hata kujadiliana nae ,Sasa Newcastle kweli hata top 6 hawez kuingia ,
Sio kupaki basi na kaunta Tena?Hivi ndivyo City anafungwa kwa sasa.
Mzuie asitembee, vumilia show off. Mtambie kidogo.
Shots outta box and voila
Rice hata mm Kani prove wrong ,sikuwahi kumuelewa pale Westham maana walikuwa wanacheza Haram footballRice kani prove wrong kwa kweli.
£100 mil? He deserve it!
Kucheza kwa kumvizia city haikubaliki ,nenda nae toe to toe ,ili uweze kupiga kina manjesta , Chelsea ,n.kSio kupaki basi na kaunta Tena?
Mm nataka siku itokee tuwa dominate na kuwafunga convincingly hapo ndo ntasema Sasa tumewiva kwa Hawa Mabraza...vngnevyo so far tukikutana nao tuwe na game plan nzuri tu...tutaendelea kupata matokeoKucheza kwa kumvizia city haikubaliki ,nenda nae toe to toe ,ili uweze kupiga kina manjesta , Chelsea ,n.k
Leo tumegawana vipindi hata Pep kasema leo tumewafunga kwa kuwazidi ,na hiki kitu mm ndio nilikuwa nataman ,kifupi nachukia Sana mpira wa janjajanja
Pep Guardiola:
“Two years ago and last season, they [Arsenal] controlled more of the game and we won…” View attachment 2775947
Kavue shanga hizo, kazi yako ishaisha.. nyumbu wa buluu we!Sisi tumewaonea huruma tu ,ndio maana Ake kajifunga ,team tunaligonga nje ndani game Zaidi ya 14 ,mpaka tulikuwa tunajiuliza hii Arsenal Ni football club au night club?
If that is your plan, Basi usiende kupiga spana KuleNawaza hapa nianzie wapi
Jukwaa la unyumbuni wamelitelekeza nataka niligeuze la biashara zangu za Jezi




Tunaomba utimize ahadi braza...ugumu uko wapi kwaniSisi tumewaonea huruma tu ,ndio maana Ake kajifunga ,team tunaligonga nje ndani game Zaidi ya 14 ,mpaka tulikuwa tunajiuliza hii Arsenal Ni football club au night club?

Kabisa Mpaka sasa walipo fikia kwakweli wamshukuru sana na sio kumtukanaTuweke ushabiki pembeni leo.
Arteta kaitoa hii timu mbali sana kwa huu mpira mnacheza na Citizen.
Ndio Maana sipend Nketiah kumuona kwenye hii timuNimepanda sana Ile double pivot ya Rice na Partey.......Rice anabaki chini Partey anacheza juu yake.....Ile long ball aliyopiga Partey akiwa juu ikaenda kwa Tomiyasu nae kapiga kichwa kwa Kai (hapa niweke wazi...Kai Ni mzuri kwenye long balls)...Kai anafanya set up nzuri kwa Gabi then goaaaaaaal