mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,678
- 19,490
Unajua nilipotea online toka saa 7 mchana kwaiyo nilivyomaliza kuangalia game nikawa napitia taratibu kuanzia juu hadi chini aiseee, wanaojua football kwa uchambuzi kabla na baada ya mechi ni wachache sana,
Wapo wenye miemko katikati ya mechi hao ndo balaa tupu![]()




️
BREAKING: Sevilla have fired head coach José Luis Mendilibar — it’s over.