hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,521
UCL ilikuwa zaman unakutana na Bayern ,Barcelona ,made ,AC Milan ,intermilan , Halafu Kuna kina Porto ,man u, n.k
Leo eti Madrid ambayo haina world class GK Wala world class CF inasubiri Jude aiokoe ,
Bayern inaruhusu magoli daily, beki mbovu ,
Barcelona ndio yule alifungwa had na manjesta kule Europa