Tumecheza vizuri tu, tatizo tumeshindwa kutengeneza nafasi.Kwahyo tumechezq vbaya first half?
Inaonekana hujanielewa Afsa, itoshe kusema nimeishia hapo.Ameimprove wapi?tumepigwa mfululizo game 12 za EPL vs City na hadi sasa 0 on target ingekuwa tumeimprove vs City game hadi half time ingejionyesha
Mkuu niokoe na link nna muda niko chaka.Tungekua tunacheza na timu nyingine ingekua hawakai na mpira zaidi ya dk.
Against City?
Unanotice kitu? Tunarundikana mpira ulipo. Kati kati City inaacha watu wawili sisi wawili wetu wanaenda kukaa na back line hii inafanya mid yao itumike kurelieve pressure muda wote.
Shabiki anawish wachezaji wa Arsenal wawe kama wa shaolini soccer. Impossible.
Defense ya City Arsenal akiwa na mpira wanabaki 3 against forwards 3 wa Arsenal kisha beki wao wa nne unamuona mid.
Hamis anakuambia gameplan ya kuifunga city kwa counter kwa Arsenal hii ni kujidhalilisha.
Wadau link pliz maana yametokea ya kutokea