Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,096
Huo ndiyo ukweli na tulifungwa. Kuifunga Arsenal haiwezi kuwa kigezo cha kuwa na kikosi bora ni kama kuifunga United tu sasa hivi haimaanishi kitu kwa timu zinazojua zinataka nini.
Huo ndiyo ukweli na tulifungwa. Kuifunga Arsenal haiwezi kuwa kigezo cha kuwa na kikosi bora ni kama kuifunga United tu sasa hivi haimaanishi kitu kwa timu zinazojua zinataka nini.
Nimeona hii habarKutokana na ile comment ya Zinchenko inawezekana leo asicheze
Liva ameanza kunyooshwa
Kwahyo pep yeye ndio kila kitu kwenyr mpira ndio mwenye maamuzi ya mwisho sioYani pep akubali kufungwa 2 games streak
Akubali kubaki na 18 points ilihali akijua kuna wenzie
Wakipata 3 points leo yeye atajikuta wa 3 au 4 kwenye
Ligi kuelekea international break
umuhimu wa partey kuwepo kunasaidia sana odeagrd kucheza vizuri
Yaani City ni katuacha tactically iko waziKisha unaambiwa Manchester City fans wanaogopa game ya leo vs Arsenal game, inawezekana leo tukapata positive results itakuwa ni ujinga mkubwa kulose 13 games in a row vs Manchester City wakati EPL Tittle tunaitaka
Fulham - lone DM - drawWewe una mdomo na mpira haujui
Haya hatuchezi double pivot
Vipi manjesta anayecheza double pivot yupo wapi



Comment gani?Kutokana na ile comment ya Zinchenko inawezekana leo asicheze

Nilisema kitakachotupa ushindi mechi ya leo ni NIDHAMU.Tunalaumu United ina wachezaji wazuri ila kocha hajui kuwaunganisha kimbinu.
Hicho alichokishindwa Eriki Kichwa Ngumu Pep amekifanya kwa City for years. Acha hela zao za visima na Dad Sheikh lakini hiki ndicho wanatuzidi.
Ability ya kuset tempo ya mechi. Hiko ndiyo hatujamaster, haswa tukicheza na timu ambazo zina team work ya kwenda toe to toe na sisi.
Kama ukiiangalia Arsenal na City ya sasa unaona Arsenal anaweza kushinda huku anamnyanyasa City basi unakosea vibaya mno.
Mzee unajua alichokoment kweli?Namsupport zincheko bana ,#free Palestine,,kama mnataka kumfanya mlichonfanya Ozil basi laana itaendelea kuwatafuna gaygunners nyie![]()
"we stand behind Isael" means zincheko anasuuport islael ,Mzee unajua alichokoment kweli?