Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

255655207403_status_38790de197f2473bba52cc8247baa9cd.jpg
 
Juzi page ya Premier league walimuweka Thiery Henry wakawa wanamfananisha na halland ,walioga matusi Sana
Halaand asipokuwa na watu wa kumlisha mipira mtamalumu tu...maana hana mbio...hajui chenga...ypoypo tu...amekuta Man City ina wapikaji ila vngnevyo akiwa timu average na yy anakuwa wa kawaida sana....Henry ile ni machine nyingine...yule kichogo enzi zake alikuwa akifungulia turbo mkimbizane utatema bungo...eti siku hzi kina Mudryk nao wanaonekana wakimbiaji nao
 
Naunga mkono hoja
 
😂🤣
 
HUwezi mfananisha TH 14 na Halaand
Haiwezekani hata kidogo
Shuleni walikua wananiita Henry kwasababu Henry alikua anacheza kama mimi
 
🤣🤣🤣...kwmba Braza kichogo alikuwa anakuiga uchezaji wako....kupata striker kama Henry pale epl sasahv itachukua mda kidogo....unabisha...mtafute Barthez umuulize pale Highbury alifanywa nn....hii watoto wa mwaka 2000 hawawezi jua
 
Tuweke ushabiki pembeni leo.

Arteta kaitoa hii timu mbali sana kwa huu mpira mnacheza na Citizen.
Wewe unaangalia mpira na unafatilia Arsenal mwaka hadi mwaka na unayaona mabadililo ya kiuchezaji ila naona ulipingwa vikali nusu upigwe na hapo ni Liverpool Fan ,..
 
Back
Top Bottom