Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
nawakumbusha, mkienda Italy msisahau kubeba pampers kwa ajili ya hivyo vitoto ushuzi vyenu.
Udinese wamecheza mpira mzuri kuliko nyie ambao mlikuwa kwenu.
Udinese wamefanikiwa kumtoa Man of the Match na nyie mmefanikiwa kulitoa Chamakh kama flop of the Match...
Dah naimani mtu kama Ljungberg, Pires, Henry, Maestro Bergkamp, Kaka mkuu Vieira, Martin Keown, Babu Tony Donkey Adams wakiiona assnail hii machozi yanawabubujika.
Yaani Assnail ni uharo kwa sasa mpk aibu hata kujitangaza kuwa wewe ni mshabiki wao.
arsenal ni ushuzi na ni bora kasepa...
Timu kila siku inasukwa na haikamiliki, kama si usakala ni nini?
Fabregas kaja ana miaka 16 kaambiwa timu inasukwa mpaka uso umemjaa madevu na keshakomaa bado anaambiwa timu inasukwa...
tumeona timu kama REal Madrid ikisukwa na tofauti unaona, timu kama Inter Mourinho aliisuka kwa misimu miwili tu na ikabeba makombe yoote.
Sasa hiyo Assnail inayosukwa kila msimu halafu inaruhusu watu kama Flamini, Hleb, Henry, Clichy, Cesc, Gilberto na wengine weeengi kuondoka ile hali wao ndio wangekuwa mashujaa wa kupigana na kupata vikombe.
Wenger ni Gagulo na anatakiwa afukuzwe na kulambwa viboko 12 ili akamuonyeshe Mkewe anayempaga mawazo mgando kama hayo.
nimefurahi Cesc kuondoka, sasa bado Van Persie na Nasri.
Wapuuzi wakubwa hawa yaani timu iko Dunia ya kwanza halafu wanaleta uongo na porojo kama za CCM wanaojishauaga kuwa uchumi wa taifa utapanda hivi soon na bei ya mafuta, umeme vitashuka. Tutajenga barabara za juu.....puuumbav
Mkuuuuu... JF # 1 arsenal hater... ONGEA! SASA
HEHEHEHE