Hahah Airtel juzi ilikuwa inasumbua kweli kweli...Nipo kijijini, mtandao wa kuvizia airtel.. bongo kwema, atakae naaje..
Huyu m'villa sidhani kama tunamhitaji kwa sababu ni mkabaji teyari tunao song, frimpong...mzee atushushie kaka.
I hate AFCON aisee......Why January na si June/July kama UEFA/WC na mashindano mengine.....Song anaenda africa january nadhani ndio maana tunahitaji kava kipindi hicho. Mambo ya african cup of nations.
<br />Song anaenda africa january nadhani ndio maana tunahitaji kava kipindi hicho. Mambo ya african cup of nations.
Nawafagilia.hahaha! kuna watu wabunifu Wamechakachua jina bana from SAMIR NASRI TO $AMIR NA$RI
Halafu kwanini inapotokea gunners tunapoyumba everybody wants to smell the rat?au anguko letu ndo pain relief kwenu?
<br />Kweli nyani haoni......!! mnasahau na nyie mnavyochekeleaga matatizo ya wenzenu eeh??!! Tit-for-tat, ha ha<br />
Anguko la Arsenal haliwezi kuwa relief mana mmmeshaanguka siku nyingi🙂))
Arsenal hata kama isingepita bado jina lake ni kubwa.... So tungesajili tu.... Kama QPR inasajili sembuse Goonerz???? Au unataka kulinganisha jina la Arsenal na lile la Chelsea??????
I hate AFCON aisee......Why January na si June/July kama UEFA/WC na mashindano mengine.....
Maskhara hayo.ongeren kwa ku clear SUP...naona mmeshangilia kwelkwel knife egde survivor...
Jirani nafikiri hali ya hewa ya Africa wakati huo wa June/July ni mojawapo ya factors!