Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunawapashia Man Utd hapa!!
Lazima hiyo j2 kieleweke, with Eden Hazard at the centre

Lille tayari wametuuzia Gervinho kwahio sidhani kama watakataa kufanya business ingine ya Eden Hazad.
 
Kama ile ya VERM ilikua penalt + Yellow.... sijui kwa nini Ref kauchuna kwa hawa Italiano....
 
Traore aliihitaji dakika zaidi ya 5 huyu ndio kiraka pekee kule kushoto, lakini AW naona anamuamini sana Jenkinson kwa vile dogo ana British bulldog character.
 
Wakuu tupeane next line-up na Man United Jumapili.

Szczesny, Jenkinson, Djourou, Vermaelen, Sagna, Walcott, Chamakh, Arshavin, Ramsey, Rosicky, van Persie.

Subs: Fabianski, Oxlade-Chamberlain, Traore, Miquel, Eden Hazad, Jack Wilshere.
 
Mwenyezi Mungu ashukuriwe, sasa tufanye usajili kabla ya jumapili, tuende tukakate ngebe za watu!!!!
 
Traore aliihitaji dakika zaidi ya 5 huyu ndio kiraka pekee kule kushoto, lakini AW naona anamuamini sana Jenkinson kwa vile dogo ana British bulldog character.

Traore leo ilikuwa ngumu kumuanzisha kwa vile katoka injury. Sagna ndio kapiga kushoto ,jenkison kulia kule anafaa na Sagna kushoto uzoefu unamfanya asipate tabu sana.
 
Wakuu tupeane next line-up na Man United Jumapili.

Szczesny, Jenkinson, Djourou, Vermaelen, Sagna, Walcott, Chamakh, Arshavin, Ramsey, Rosicky, van Persie.

Subs: Fabianski, Oxlade-Chamberlain, Chamakh, Traore, Miquel, Eden Hazad, Jack Wilshere.

Hapo kwa Djourou mimi sina imani napo hata tone!!!
 
<font color="#800000"><font size="4"><b>Prof ataleta wachezaji wawili ... ... I believe ... ... </b></font></font>
<br />
<br />
Nakusahihisha,si wawili bali at least watatu,babu ana kama £90m mfukoni kwa ajili ya usajili mpaka sasa!
 
Back
Top Bottom