Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Goli la pili hapa muhimu sana.
Limepatikana bosi!!!!
Goli la pili hapa muhimu sana.
Limepatikana bosi!!!!
Wakuu mmeona elbow hiyo ... ... hiyo ni red card ... ..... ..
Wakuu mmeona elbow hiyo ... ... hiyo ni red card ... ..... ..
Walcott calm down, tumeshashinda na hatuhitaji kadi nyekundu ya kizembe.
Ila bado Arsenal inahitaji mchezaji wa kiungo na beki na mshambuliaji.
Au wakuu mna mawazo gani?
Walcott calm down, tumeshashinda na hatuhitaji kadi nyekundu ya kizembe.