Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

F Arsenal, Marseille, Olympiakos, Borussia Dortmund

Kila la heri kwenye group stages.

This is the 14th season in a row Arsenal have qualified for the Champions League, only Man Utd & R Madrid are on a longer run.
Arsenal have won their last 5 home games against German opposition, including a 2-0 win v Dortmund in 2002. - Opta Stats
 
kila la heri watani
 
Arsenal inakabiliwa na kazi ya kukabiliana na timu hizi ambazo zinacheza mtindo unaolingana na ule wa Udinese ambao ni kushambulia kwa kasi na kuvuruga eneo la "midfield".

Arsene Wenger ni lazima asajili mchezaji wa kiungo, beki na mshambuliaji.

Anasema wanafanya kazi mchana na usiku lakini hakuna matokeo yoyote hali saa hii.

Hata hivyo Arsenal imekwepa safari za mbali mpaka maili 3400 kwenda Ukraine, maili 2600 kwenda Russia na maili 4000 kwenda Uturuki.
 
121981059.jpg

Kikosi cha Arsenal
 
ongeren kwa ku clear SUP...naona mmeshangilia kwelkwel knife egde survivor...
<br />
<br />
Hahahaah,umeniacha hoi mtani,lakini tangu lini profesa aka-clear sup?okay basi alijitungia mwenyewe mtihani!
 
Mkuu wewe ni kuiandama Arsenal tu basi.

hahaha jamaa anatukubali...

Hizi ni dalili za kutojiamini! Yaani kuwatakia heri mfanye vizuri ndio kuwaandama?! Duh! Arsenal fans hawaridhiki kwa lolote! Mlitaka niwatakie mkosi? Nope, sio mimi wa kufanya hivyo....it's about fair play, wishing luck to your rivals is good thing....you sound very unsportsmanlike!
 
Fabregas 3 Arsenal 0....and he scored a nice goal!
Kuna watu walikuwa wanamponda sana dogo,siku hizi amekuwa bonge la striker kama Mascherano alivyokuwa bonge la beki siku hizi
Game 3 goli 3 ,Messi pekee ndio anamzidi
 
Kuna watu walikuwa wanamponda sana dogo,siku hizi amekuwa bonge la striker kama Mascherano alivyokuwa bonge la beki siku hizi
Game 3 goli 3 ,Messi pekee ndio anamzidi

....na makombe 2!
 
Congrats cesc for being among the heros,hata Gerald Pique angebaki manYoo Fc asingekuwa part ya mafanikio makubwa ya Barca Fc!
 
Congrats cesc for being among the heros,hata Gerald Pique angebaki manYoo Fc asingekuwa part ya mafanikio makubwa ya Barca Fc!
Gerard Pique alikaa Manu misimu 3 na lishinda Ngao ya Jamii,Premier League na Champions League wakati Fabregas amekaa Arsenal misimu 8 but ameambulia FA Cup na Ngao ya Jamii
 
Back
Top Bottom